Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

kitalembwa

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
2,871
7,173
Unakuta,

Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.

Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?

Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!

Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.

Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?

Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.

Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.

Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.

Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
 
Unakuta ;

Mdada kakodi frem kodi 1m, kaweka vigauni na madela,,,, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1m,,, anashinda hapo kila siku,,, mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki_pub cha jiran,,, nje kapki IST yake safi kabisa,,,jion huyoo anaenda kwake ,,,, unakuta biashara ngumu lakn anakomaa hivyo hivyo,,,, kuna nn nyuma ya pazia ? Au ndo masponsa !

Unakuta mdada kakodi frem kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa.,,,na pochi kama 10 tu kamaliza ,,, anashinda hapo biashara amna na ukimuona mdada mwenyewe high class ,,, Ama kweli dunia ina mambo !

Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on ,,,,,

Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo,,,na kodi ikiisha italipwa ya mwaka ,,, !! Kuna nini behind???

Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi,,, jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza , sunglasses n.k ,,, ! Tuwaite mishangazi ,,, ! Ni jirani nikimaanisha frem zetu zimefatana ,,, ! Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini_supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha ,,, kafunga Ac, milango aluminium,,, pana muonekano mzuri,,, ! Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita mat*ko ya nyani ,, hamna biashara kabisa ,,,kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhan watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana,,,,
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula ,,,,, akijickia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka ,,,,weekend anafunga mda wowote ule

Mifano ni mingi iliyo hai ,,, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana )
Wengi wanadanga, wengi wanamasponsa, Wapo wengi tu bora ya watoto wa kiume wakifungua biashara wanaipambania mno mno mno.
Ila kwa wadada mhhh.
 
Naweza kusema hayo ni maisha ya watu wewe yanakuhusu nini
 
Back
Top Bottom