Wadada wa JF

ahsant sana Mysteryman,uzi wako have made my day,nimecheka mpaka,niko hapa kwenye businss centre ya hotel watasha wanashangaa ninavyocheka na skrini,thanks buddy!
 
anaweza akawa mgodi flani lakini ni security guard.
Wan pesa nenda geita Mine nilikuwa huko acha utani labda kama yupo kwenye mgodi wa mchuchuma huko deal hakuna unakuwa na wachina utamwuzia nani mkaa wa mawe??kwani hata ukiwa unasafirishwa hakuna ulinzi the way hakuna deal!!
 
huyo kipipi na husninyo wote riziki yako.tunaiita 2in1.mimi napita kama sijapita by ashadii.mia
 
khaaaa! Hunitakii mema.

Mystry bonge la pedejee nasikia,nyumbani kwake masaki utadhani yadi kapanga S class,mi vogue,li hammer,BMW nyumodo,ukitabasamu tu anakupiga na rav 4 mpya,of cousre kila jumamosi Le gemma zanzibar, ushawahi kufika le Gemma ? chumba dola 3000 na unakuwa na private swimming pulu yako, we m PM tu uonje pepo ukiwa duniani hapa, au vipi Mysteryman?
 
Back
Top Bottom