Wadada wa JF

jaribu kumpm ku pm kila ID unayodhani ni mdada then ukipata reply unga humo humohumo,ila ukipata gumegume shauri yako
 
Mystry bonge la pedejee nasikia,nyumbani kwake masaki utadhani yadi kapanga S class,mi vogue,li hammer,BMW nyumodo,ukitabasamu tu anakupiga na rav 4 mpya,of cousre kila jumamosi Le gemma zanzibar, ushawahi kufika le Gemma ? chumba dola 3000 na unakuwa na private swimming pulu yako, we m PM tu uonje pepo ukiwa duniani hapa, au vipi Mysteryman?

sidanganyikiii.
 
khaaa! Ukikosa mchumba usije kunililia.

Husninyo bana! Wakati we ndo uliondoka nae, hii ni kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia! Labda kama ulienda kumgawia wale kina mama yoyoo wa pale Nyegezi manake wale ndo huwa wanaambatana na waume zao hadi kwenye lindo!
 
Hahahaha bishanga ona sasa PM zinavyomiminika lol wambie uliwadanganya tu
 
Back
Top Bottom