Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

Mke mwenza, siku PAW wangu anapata uprezidaa na mie naukwaa u-first lady, wewe utakuwa mshauri wangu wa uchumi wa mavazi na vipodozi.
Lol...mke mwenza naona zali limeniangukia asubuh, asubuh. Ngoja nisave hii quote yako kwa matumizi ya baadae!
 
Save mama! Wifi atakuwa mshauri wa viatu, mkwe atakuwa mshauri wa kope na mawigi na kucha za bandia, natafuta wa mkorogo ila nahisi The Boss atafaa kwa hili.

Hehehe! Asipofaa The Boss wasiliana na bht, nae ni mtaalam sana wa mkorogo, wake huwa anau blend kabisaaa!
 
Hahahaaa nitafutie tenda ikulu ya Hydom ntakupa 10 %

Mr. Ndo mkorogaji mashuhuri hapa mjini ujue na mafuta ya transfoma tunayachukua direct toka taesko yakiwq safi.
 
Back
Top Bottom