Wadada wa humu wazuri tena wakarimu hawachukii ukiwakera cyo cri nawapenda

Tenda zote lazma zipitie kwangu, usijali. Ila inabidi uwe unakuja na vazi kama la AshaDii na uvae sunglasses kuficha hiyo mimacho yako kama gololi!
Hahahaaa nitafutie tenda ikulu ya Hydom ntakupa 10 %

Mr. Ndo mkorogaji mashuhuri hapa mjini ujue na mafuta ya transfoma tunayachukua direct toka taesko yakiwq safi.
 
Hahahaaa nitafutie tenda ikulu ya Hydom ntakupa 10 %

Mr. Ndo mkorogaji mashuhuri hapa mjini ujue na mafuta ya transfoma tunayachukua direct toka taesko yakiwq safi.
Huoni nnavokazana kupiga kampeni kwa mke mwenza?...ila mkorogo wa King'asti jiki lazima iwe kwa wingi ili firstlady to be ang'ae upesi...
 
Wifi moenzi, huu wivu wako naupenda sana,kha! Kakako hajambo ila ntakuja unigawie ile dawa ya kukoroma manake hadi saa hizi bado anakoroma tu! Miss u, ntakuja ule mtaa wa jana tuongee...
Wifi King' kaka Paw hajambo?

Sweet Wifi kaka Cookie hajambo?

Mimi nimepita tu hapa.... Nilitaka tu mrusha uzi ajue kua kuna Paw na Cookie.... Watching....:lol:
 
Wifi King' kaka Paw hajambo?

Sweet Wifi kaka Cookie hajambo?

Mimi nimepita tu hapa.... Nilitaka tu mrusha uzi ajue kua kuna Paw na Cookie.... Watching....:lol:
Wifi mie sijambo ila kakako sina habari zake manake nimemnunia...mwaka mpya hakuniletea viatu vipya...
 
Leo kaniambia nikauze karanga pale sokoni tutakutana pale pa siku zote
Na uhakikishe wifi angu na mke mwenzangu hawasomi hapa manake ntakuta makapu ya talaka mlangoni... Unamwagaje mchele kwenye kuku wengi hivi?
 
Afu unamnunia shem, unaenda kwa nitonye ili akutonye! Nitonye mwenyewe ni toinyo tu,kha!
Na uhakikishe wifi angu na mke mwenzangu hawasomi hapa manake ntakuta makapu ya talaka mlangoni... Unamwagaje mchele kwenye kuku wengi hivi?
 
Muambie huyo! Akiona vyaelea ajue vimening'inizwa atii! PAW atamlima ban jf, mbinguni na duniani hadi akhera! Sijui ataenda wapi na tape measure yake isiyo na namba!
Unamjua PAW au unamsikia? Kama una hamu ya life ban test zali uone.
 
Tenda zote lazma zipitie kwangu, usijali. Ila inabidi uwe unakuja na vazi kama la AshaDii na uvae sunglasses kuficha hiyo mimacho yako kama gololi!
Hahahaaa mwanamke jocho bibi eeh, haloo, hasa ukijua kulitumia.....
Mambo gani ya kupeana masharati unaogopa ntamnyakua PAW? Akhaa bibi mi menyewe festilady wa ikulu ya bariadi, Hydom yako tu usiwe na shaka ....lolest!

Halafu kumbe wewe na SL waume zenu ni mamods eeh, afu kuzaliwa sikujuaga Cookie ni HE....khaa!
 
Wifi moenzi, huu wivu wako naupenda sana,kha! Kakako hajambo ila ntakuja unigawie ile dawa ya kukoroma manake hadi saa hizi bado anakoroma tu! Miss u, ntakuja ule mtaa wa jana tuongee...

Tatizo wifi mu warembo saana.... Abiria chunga mzigo wako bana! lol

Wifi taratibuuuu! Unamjua kakako alivyo, atalambisha ban hapa hadi invisible!

Namuanzia mbali... Hio ni silent warning kwake... kua wewe mke wetu....lo... (at least my fav brother Paw)
 
Back
Top Bottom