bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
soko la nini sasa???
hizo sifa unazozisema yeye anazo tayari!
soko la nini sasa???
naangalia sura na uhandsome...
Hapa kazi ipo...ngoja niendelee kuperuzi..!!Sura itakuliza mdogo wangu.
cha kwanza kabisa, sura yake, pili jinsi alivyopangilia mavazi yake, tatu jinsi anavyoongea
hizo sifa unazozisema yeye anazo tayari!
Hapa kazi ipo...ngoja niendelee kuperuzi..!!
Mwisho wa siku mtoa Mada atafanya majumuisho then tutajua kiukweli kipi mwakipenda.....lazma mchanganyikiwe mwaka huu si mmetaka kujua nyie twatizama nini???
Mwisho wa siku mtoa Mada atafanya majumuisho then tutajua kiukweli kipi mwakipenda.....
Kwa harakaharaka nimeona kuwahaiyaaa......
Kwa harakaharaka nimeona kuwa
1. Viatu
2. saa
3. Pafyumu
sijakupata vizuri hapo kwenye red.Saa,aina au muonekano,designer wa saa ya mwanaume, unaweza kupa majibu ya maswali mengine.......:laugh:
Then of coz viatu....material ya viatu na nguo na jinsi alivyo-match juu hadi chini
Lastly,harufu yake :coffee:
hapa nimejua mengi mambo ya kunuka kama beberu kumbe naweza kosa mengi?
Sura ni muhimu bana
wanaume tuna kazi kweli LD,
kumbe tunatakiwa tuwe na style za kuongea eeeeh,????
cha kwanza viatu
Kuna wanawake wanapenda mwanaume anae nuka kama beberu
Kuna wanawake wanapenda mwanaume anae nuka kama beberu
na mimi HUYOOOOO AU atakuwa amekata miguu yangu?USHAURI, Kina dada wacheni mambo ya kukagua Madume kama Mbuzi Sokoni, Kwani ndo hapo mna-chakachuliwa. Wapata jombi kapiga pamba ya kutosha na vigezo vyoote mpendavyo, ma-perfume ya bei ya juu. Mali yooote sio ya Kichina. Kumbe vyoote vya KUAZIMA!!!!, ukija gundua!!!, Jamaa keshamaliza na HUYOOOOOOOO!!!!!!!!!!