wadada make up na urembo mwingine vinaleta kichefuchefu,mpunguze tutaanza kuwazomea..

Aisee, wewe unaangalia kwa mtazamo tofauti kabisa. Nimependa opinion yako
Mkuu Facilitator mimi pia napenda sana michango yenye uzito toka kwako na huwa nafuatilia sana, kama ile uliyotoa kule kwenye hoja "Ni kweli yametokea", wengine wanavamia lakini wewe unazama kilindini ukiibuka unakuja na kitu. Tupo pamoja mkuu.
 
Thanks pal.
 
download
 
Back
Top Bottom