wadada make up na urembo mwingine vinaleta kichefuchefu,mpunguze tutaanza kuwazomea..

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
wadada.jpg

sasa huu ndio urembo gani? wanaume tuwazomeee madada kama awa
 
aiseeee weeee.....hii picha yangu umeiweka kwa ridhaa ya nani......?

nilikupiga wik end iliyopita,tulivyotoka out nikaogopa kukwambia sababu ungeninyima... lakin sasa nimeona kama noma na iwe noma,nimeiweka ili wadada wengine wasifanya hivo
 
nilikupiga wik end iliyopita,tulivyotoka out nikaogopa kukwambia sababu ungeninyima... lakin sasa nimeona kama noma na iwe noma,nimeiweka ili wadada wengine wasifanya hivo
Ngoma kama hizi kitu mnato, zinakuwa tamu kinoma manake unakuwa na vyama vya upinzani vichache.
 
nilikupiga wik end iliyopita,tulivyotoka out nikaogopa kukwambia sababu ungeninyima... lakin sasa nimeona kama noma na iwe noma,nimeiweka ili wadada wengine wasifanya hivo

yale mandazi....au mabumunda........?
 
Mbona kapendezaaa jamani...acheni choyo

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Haaaa!!....ni zaidi ya kichefuchefu..kama yale masanamu ya kuchonga ya kimasai..# copy right yaani..

Vioo vyetu vinadanganya sana jamani,loh!
 
Back
Top Bottom