Kweli sasa naona umuhimu wa vitambulisho vya utaifa! Huyu nae mtz?
tatizola mapenzi ya mtandaoni hayo...... Hamjuani mpanga apointment.....
Anakumega na kukuibia juu......
Halafu JF Expert Member duukuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa