wadada kuweni makini mbinu mpya ya wezi mjini

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa
 
Mambo mengine myaache huko huko facebook, kiswahili chenyewe hakieleweki, unachotaka kupresent chenyewe hakijulikani. Utadhani unawaandikia watoto wa Sekondari bana.
 
hehehe...nimecheka mpaka basi.. Au keyboard yake imekaa kichina china? LOL
 
au ndo kiswanglish hicho?? kizazi kipya hicho, mambo ya DOT com
 
Kwa hiyo ushauri wako ni kutokwenda na vitu vya thamani kwa hao first time lovers au? Hao walioibiwa wangetumia sense zao za kutokubali kufanya mapenzi na mtu waliyekuta 4 the first tym wasingeibiwa. Wamevuna walichokipanda ili iwe fundisho cku nyingine
 
kuna watu last 6 washaliwa mjini hapa. unamit bad mtu facebook mnapeana number Mnachart then siku ya kumit anakuambia njoo bad laptop. anakula mzigo aka ngabude then usiku umelala anasepa na kila kitu
kaa chonjo mjini hapa ajira ngumu
poleni kwa mlioliwa

kwel we wa polini,,,hujui kiswahili kama mhazabe
 
wadada kwakweli humu wala sio wengi sanaaaaaa kama wa mama,tuandikie kieleweke mie hata nashindwa kuchangia sijaelewa...
 
Tukiambiwa kuwa watu wanamaliza vidato lakini hata kujieleza kwa lugha yetu wenyewe wanashindwa, tunabisha!
 
Back
Top Bottom