johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,597
- 142,908
Wanasiasa wamekubalu kudanganywa katika mustakabali mzima wa Uchumi na kufanya huko tunakoelekea kusitabirike
Haitoshi tu kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani na sisi hatuchukui Hatua zozote kulinda Uchumi Wetu
Lakini ni Ujinga kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani halafu Jerry Slaa anaweka Tozo ya tsh 100 kwenye Lita ya Mafuta
Tusisahau, Duniani kote Uchumi ukiporomoka Waathirika wa kwanza ni Wanasiasa na Matajiri, hawa Kajamba nani hawana cha kupoteza
Mungu wa mbinguni awabariki sana 😀