Wachumi wanawadanganya Wanasiasa na matokeo yake tutayashuhudia Siku si nyingi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Wanasiasa wamekubalu kudanganywa katika mustakabali mzima wa Uchumi na kufanya huko tunakoelekea kusitabirike

Haitoshi tu kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani na sisi hatuchukui Hatua zozote kulinda Uchumi Wetu

Lakini ni Ujinga kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani halafu Jerry Slaa anaweka Tozo ya tsh 100 kwenye Lita ya Mafuta

Tusisahau, Duniani kote Uchumi ukiporomoka Waathirika wa kwanza ni Wanasiasa na Matajiri, hawa Kajamba nani hawana cha kupoteza

Mungu wa mbinguni awabariki sana 😀
 
Wachumi wetu hawawadanganyi wanasiasa ila elimu yetu haimfanyi msomi kuwa na uwezo wa kuchakata na kupata jibu jipya, hawezi kwenda nje ya box zaidi ya alichofundishwa. Hata mainjinia tulionao na wataalamu wa Afya tulionao utaalam wao unaishia kwa kile tu walichofundishwa, NA NDIO MAANA HUWEZI KUSIKIA TZ IMEGUNDUA DAWA AU IMEWEZA KUTIBU KITU KIPYA.

Kwa hiyo tuwasamehe tu hawa wachumi wetu MAANA uwezo wao ni mdogo sana.

Nchi hii ingekodi wachumi kutoka nje kwa contract ya miaka 10 tungevuka parefu tu
 
Upumbavu ulianzia hapa, ona sasa amelamba na uteuzi
 
Hakuna cha bei ya mafuta kupanda duniani wala nini. Hayo mafuta mrusi anayo kibao Uganda wenzetu wamejiongeza wamehama kambi.

Tangu lini ukiishi na bepari USA ukafanikiwa bila yeye kukuwekea figisu ushuke ili siku zote umlilie njaa akuamuru uweke rehani rasilimali zako ?
 
Hivi Tanzania inaweza kuagiza mafuta kutoka Angola au Nigeria?! Angola ni supplier mkubwa tu wa mafuta Afrika na wote tupo SADC, Kuna ugumu wowote kutrade wenyewe kwa wenyewe ndani ya SADC?! Kwanini tunalazimika kuagiza mafuta kutoka mbali tena kwa gharama kubwa huku nchi ikiwa kwenye criss kubwa ya sarafu ya Dola?
 
Shida ni kuyasafisha, mafuta ghafi yapo kibao hivyo kama tunatana unafuu tuanze na mitambo ya kusafishia yaani crude oil Hadi za magendo ni kibao
 
Honestly, ni wizara gani Mwigulu aliwahi kupewa akafanya kitu chochote cha maana?? Hivi mnajua tunatumia asilimia ngapi ya mapato yetu ya fedha za kigeni kulipa madeni ya nje aliyokopa kwa pupa??

Watu kama akina Mwigula, Nape na Makamba kuwa kwenye baraza la mawaziri ni kielelezo kuwa mamlaka ua uteuzi inawaza siasa zaidi kuliko maendeleo ya nchi.

Na hii ni sababu tosha kabisa kwa wazalendo kumpumzisha SSH 2025.
 
Wachumi wetu hawawadanganyi wanasiasa ila elimu yetu haimfanyi msomi kuwa na uwezo wa kuchakata na kupata jibu jipya, hawezi kwenda nje ya box zaidi ya alichofundishwa. Hata mainjinia tulionao na wataalamu wa Afya tulionao utaalam wao unaishia kwa kile tu walichofundishwa, NA NDIO MAANA HUWEZI KUSIKIA TZ IMEGUNDUA DAWA AU IMEWEZA KUTIBU KITU KIPYA.

Kwa hiyo tuwasamehe tu hawa wachumi wetu MAANA uwezo wao ni mdogo sana.

Nchi hii ingekodi wachumi kutoka nje kwa contract ya miaka 10 tungevuka parefu tu
Akili kama hizi ni za kuogopwa kama ukoma, hivi tu tunakodisha bandari mnalialia, tuki kodisha wachumi si ndiyo mtakufa?
 
Shida ni kuyasafisha, mafuta ghafi yapo kibao hivyo kama tunatana unafuu tuanze na mitambo ya kusafishia yaani crude oil Hadi za magendo ni kibao
Hivi kiwanda Cha TIPER kiliishia wapi? Je? kujenga refinery plant ni gharama gani?
 
Akili kama hizi ni za kuogopwa kama ukoma, hivi tu tunakodisha bandari mnalialia, tuki kodisha wachumi si ndiyo mtakufa?
Kwa hiyo akili yako nadhani hata wewe unahitaji kukodishiwa mtaalam wa kuendesha ndoa yako. Huna akili
 
Wanasiasa wamekubalu kudanganywa katika mustakabali mzima wa Uchumi na kufanya huko tunakoelekea kusitabirike

Haitoshi tu kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani na sisi hatuchukui Hatua zozote kulinda Uchumi Wetu

Lakini ni Ujinga kusema Bei ya Mafuta inapanda duniani halafu Jerry Slaa anaweka Tozo ya tsh 100 kwenye Lita ya Mafuta

Tusisahau, Duniani kote Uchumi ukiporomoka Waathirika wa kwanza ni Wanasiasa na Matajiri, hawa Kajamba nani hawana cha kupoteza

Mungu wa mbinguni awabariki sana 😀
Yaani MASIKINI HAFILISIKI sio?
 
Tutakuja kulia na kusaga meno
 
Kwani bei ya mafuta ni mara ya kwanza kupanda Kwa Sasa? Bei ya Sasa zilifikia za mwaka Jana? Acha ubwege we Mzee.

Bei zikifikia mahala hazikamatiki Serikali itaweka ruzuku
20230907_122814.jpg
 
Back
Top Bottom