Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 134
Mods,kama hii haipaswi kuwa hapa mataiweka mahara husika.
Je wachumi embu tuambieni,Uchumi wa Marekani umezidi kushuka kiasi cha kuathiri kwa kiasi kikubwa shughulri zao za ki-bank.
Lakini inashangaza hapa nyumbani kwamba hiyo Hela yao yaani US DOLLAR $ imekua inapanda thamani kinyume na mambo yalivyo yaani kwa leo hii habari nilizo nazo imefika Dolla 1 =Tshs. 1220
Je Wachumi haya mambo hapa yakoje?maan hata mafuta huko kwenye soko la dunia yamefika nusu ya bei kwa pipa,ukilinganisha bei ya nyuma,sasa je? Tanzania tunaishi dunia ipi,hii hii wanayoishi wenzetu au.................?