Wachumba zetu na MA GUY FRIENDS

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.

Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!

Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.

Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.

Vivyo hivyo wa wakina kaka!
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh! Siyo wote wanatamani kukuvua nguo!

Mtu uvuliwa nguo kwa kupenda mwenyewe tena kimyakimya!
 
sio lazima msichqna wako avuliwe nguo na what so called 'guy friends'.......

Mtu havuliwi nguo kwa kuwa tu ana guy friends... Anaweza kuvuliwa nguo akitaka, tena hata sio na 'guy friends' bali na muuza duka tu mtaani kwenu kama sio vijana wa vijiweni.......
Kifupi tabia ya mtu wako ndo inadetermine kuvuliwa au kuvua......

Pia je wewe na ma 'girl friends' zako unawavua nguo?
 
Si bora siku hizi kuna hata BBM na sijuhi face book. Those days wanaume/wanawake wa hivyo ndio wale wakienda club unakuta anatanga tanga meza moja hadi nyingine kusalimia opposite sex na kutia story; wanasahau walikuja na nani; mnakutana tena muda wa kuondoka.

Hao hawafai kuwa private husband or wife, utakufa na BP bure.

Regardless wanavuana nguo or not; mi sipendi kabisa design ya hao wanaojidai wako connected sijuhi niseme networked na kila mtu. Mara ooh huyu nimesoma nae; ooh huyu tunafanya kazi wote, ooh huyu jirani yetu kule Dodoma, ooh huyu tumekuwa wote, ooh huyu nimesoma nae primary, ooh huyu kaka yake rafiki yangu inahuuuu!

Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.

Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!

Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.

Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.

Vivyo hivyo wa wakina kaka!
 
Mbona wakaka kwa ladies friends mmeshindikana?
Kila relationship ina utamaduni wake. Kuna mdada alikuwa anamsifia mumewe kuwa hanaga marafiki wa kike kabisaa, mie nikabadili topic manake mumewe nakutanaga nae saa nane za usiku (nikitoka lindoni) na work mates wake! Natamani kuuliza hujamchoka work mate jamani? Umeshinda nae toka saa mbili asubuhi mnaangaliana ofisini, hadi saa nane usiku! Kha!
 
angalia tu usisutwe..lol
 
Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.

Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!

Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.

Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.

Vivyo hivyo wa wakina kaka!
thanx alot dats tru km ni kk utasikia me nnamarafik weng wa kike,wadada nao watakwambia mm nna marafik weng wa kiume point to rmember no frendship kat ya jinsia ya kike na kiume hapo ni kupigana fix 2!
 
sio lazima msichqna wako avuliwe nguo na what so called 'guy friends'.......

Mtu havuliwi nguo kwa kuwa tu ana guy friends... Anaweza kuvuliwa nguo akitaka, tena hata sio na 'guy friends' bali na muuza duka tu mtaani kwenu kama sio vijana wa vijiweni.......
Kifupi tabia ya mtu wako ndo inadetermine kuvuliwa au kuvua......

Pia je wewe na ma 'girl friends' zako unawavua nguo?

inategemea mazingira mliyocreate na hao friends + tabia km ulivyosema
 
mmhhh, somo zuri ila ukisema utasikia mbona hujiamini au mbona hawa ni schoolmates, workmates, jirani na vitu kama hivo duh me cpendi kweli... unakuta yuko busy anaongea na simu na mdada tena nyakati za usiku ila huwa wanaongea masuala ya kikazi ukiuliza kwanini muongee usiku hajui kuwa usiku ni muda wa kupumzika... utaishia kuambiwa we naye unapenda kulaumu mno!
 
Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.

Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!

Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.

Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.

Vivyo hivyo wa wakina kaka!

Hasa sasa tunapochanganya neno rafiki na mpenzi.
 
Back
Top Bottom