Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Uchumi wetu unapoelekea sio pazuri, Nchi nyingine kadri siku zinapoyoyoma kuelekea uchaguzi sarafu yao inapata nguvu lakini kwa Tanzania ni tofauti itafika wakati mtu unaenda kununua mkate unabeba gunia, Mheshimiwa JK hapo utatusadiaje??
Pili, Kuna uwezekano wa uchumi wetu ukazidi kudidimia baada ya WACHINA KUJIPA TENDER WENYEWE YA KUTENGENEZA COINS ZA 200, container 3 zilishushwa pale bandarini na kupitishwa bila kukaguliwa cjui TRA walikuwa wapi. HIzi coins zimeishaingia kwenye mzunguko wa hela hapa Tanzania. UKITAKA KUJUA COIN YA 200 ULIYONAYO NI FEKI, ANGALIA MAANDISHI YAKE YATAKUWA YAMEFIFIA NA INA UWEUSI
nb:Hawa wachina wameamua kutengeneza hizi coin ndogo ili wasigundulike mapema
Ndo hayo tu wana JF