Wachina watengeneza coins za 200: Mkulo, TRA & TBS mpo?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Uchumi wetu unapoelekea sio pazuri, Nchi nyingine kadri siku zinapoyoyoma kuelekea uchaguzi sarafu yao inapata nguvu lakini kwa Tanzania ni tofauti itafika wakati mtu unaenda kununua mkate unabeba gunia, Mheshimiwa JK hapo utatusadiaje??

Pili, Kuna uwezekano wa uchumi wetu ukazidi kudidimia baada ya WACHINA KUJIPA TENDER WENYEWE YA KUTENGENEZA COINS ZA 200, container 3 zilishushwa pale bandarini na kupitishwa bila kukaguliwa cjui TRA walikuwa wapi. HIzi coins zimeishaingia kwenye mzunguko wa hela hapa Tanzania. UKITAKA KUJUA COIN YA 200 ULIYONAYO NI FEKI, ANGALIA MAANDISHI YAKE YATAKUWA YAMEFIFIA NA INA UWEUSI

nb:Hawa wachina wameamua kutengeneza hizi coin ndogo ili wasigundulike mapema

Ndo hayo tu wana JF
 
Have you reported?!
Au wewe ni irresponsible citizen unasubiri wengine wakatoe report.
Unataka kuwa mtazamaji na kuanza kuilalamikia serikali?!

Play your part!
 
Source pse! tunahitaji kutafakari

This is very sensitive. Huyu jamaa kama Jerry Murro.

Kama hizi habari ni za kweli then we are Done.

Leo nimeingia benki only to be told I can buy a doller @ 1,405. I really wonder where

This will reach in the next 4 months
?
 
This is one of those typical stories from people who their proffesion is just to complain but cannot come up with suggestion or solution of any kind. They just know to ask questions but cannot come with even simple answer. If all this is known to you and you are responsible citizen what did you do ? You seem to know allot of information about this issue e.g how many containers , what denomination and color of coins but you cant even report anonymously !!
 
King of Kings, umetoa taarifa lakini hebu onyesha ujasiri toa taarifa zaidi ili tusaidie hii inchi yetu, maana ni hatari jamani.
 
Kingi
hiyo ishu ni kubwa mara mia ya unavyofikiria, naomba nikuulize:
1. wewe umepata hiyo info kutoka "chanzo" gani?
2. baada ya kupata hiyo habari ulitaarifu vyombo vya dola?
3. Inaeleke hiyo habari ni kweli, na kama ni kweli inawezekana wewe ulipata info wakati contena haztoka bandari, kwa hiyo ulikuwa na nafasi nzuri zaidi ya kuzuia jambo hilp, lakn inatia mashaka kuona umekaa kimya mpaka sarafu zimefika mtaani, tukisema kuwa na wewe umeshiriki kufanikisha uingizwaji wa sarafu hizo una lolote la kusema?
 
This is one of those typical stories from people who their proffesion is just to complain but cannot come up with suggestion or solution of any kind. They just know to ask questions but cannot come with even simple answer. If all this is known to you and you are responsible citizen what did you do ? You seem to know allot of information about this issue e.g how many containers , what denomination and color of coins but you cant even report anonymously !!

Tusimlaumu sana labda alishawahi kutoa information anonymously then akakamatwa yeye au kutishiwa maisha, embu wewe jaribu siku 1 kutoa taarifa za kihalifu......... Hata kwa kuweka hapa JF pia katoa taarifa humu wapo wengi sana.
 
Uchumi wetu unapoelekea sio pazuri, Nchi nyingine kadri siku zinapoyoyoma kuelekea uchaguzi sarafu yao inapata nguvu lakini kwa Tanzania ni tofauti itafika wakati mtu unaenda kununua mkate unabeba gunia, Mheshimiwa JK hapo utatusadiaje??

Pili, Kuna uwezekano wa uchumi wetu ukazidi kudidimia baada ya WACHINA KUJIPA TENDER WENYEWE YA KUTENGENEZA COINS ZA 200, container 3 zilishushwa pale bandarini na kupitishwa bila kukaguliwa cjui TRA walikuwa wapi. HIzi coins zimeishaingia kwenye mzunguko wa hela hapa Tanzania. UKITAKA KUJUA COIN YA 200 ULIYONAYO NI FEKI, ANGALIA MAANDISHI YAKE YATAKUWA YAMEFIFIA NA INA UWEUSI

nb:Hawa wachina wameamua kutengeneza hizi coin ndogo ili wasigundulike mapema

Ndo hayo tu wana JF

kijana kama unatumia pombe acha mara moja! adhawaizi lete sosi ya hili chinese skendo!
 
wabongo bwana, mtu katoa taarifa wao ndo kwanza wanaanza blame na kuhitaji source. sasa ukipata source itakusaidia nini?
kwani hivi alivyofanya si ametoa taarifa ndo maana mimi na wewe tumeipata khabari hii. so hata wewe baada ya kuipata ni jukumu lako kisambaza na if possible uipeleke sehemu husika.
 
This is very sensitive. Huyu jamaa kama Jerry Murro.

Kama hizi habari ni za kweli then we are Done.

Leo nimeingia benki only to be told I can buy a doller @ 1,405. I really wonder where

This will reach in the next 4 months
?

Hapa tena sijui watadunganyaje maana wamesema uchumi wa nchi unakua huku thamani yetu ya sh. inapepesuka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom