Wachina wa kiwanda urafiki plastiki wanashikiliwa na polisi kwa kufukia kiganja cha mkono

Kama kimekutwa kimechimbiwa hawajakamatwa nacho,kwani kiwandani hapo wako wao tu,yawezekana wafqanyakazi wengine walikona wakaamua kukizika.Kesi zingekuwa hivyo c tungekuwa tunazika marisasi kwenye fence za tusiowapenda kisha tunaita polisi
 
We naye umekomalia ishu ya kubakwa utadhani kabakwa mamaako! Huna jipya!

Kwa akili yako unadhani umenitukana mimi? hapana... fahamu tu kwamba huyo Mbakaji kunasiku atabaka mama yako, dada yako, kukubaka wewe au mtu yeyote anayekuhusu ndo utakapo elewa maana na msingi wa maneno yako...Na uelewe pia kwamba Polisi wanatakiwa kufanya kazi yao na siyo kila siku kwenye TV na habari zisizo na muelekeo nasema hatutaaacha kusema wala kupiga kelele hatakama watu wote wakiwa kimya tutasema tu...wala sintahofu huu ni msimamo wangu
 
We naye umekomalia ishu ya kubakwa utadhani kabakwa mamaako! Huna jipya!

He! kumbe unasubiri mpaka Kapuya ambake mamaako ndiyo utastuka na kuchukua hatua! mi nina wasiwasi kwa akili yako hata akibakwa mamaako hutastuka bali utapita mitaani na kushangilia na pia ukitangaza kwa watu mwenyewe ukidhani ni sifa kwako kwa kitendo cha mr.acudo kumbaka na kumuachia minyenyere mama yako
 
Kwahiyo jamaa linatamani sana Mzee AKUDO ambake mzazi! Duh, kweli watu tunatofautiana hobby!
 
haya sawa tushasikia tutawanyonga kama wao wanavyotunyonga kwao....turudi kwenye hoja ya msingi KAPUYA kabaka alafu anapiga mikwara atajiua hii ishu vp yule makengeza na polisi wake haiwahusu?
 
Hawa watu bahati nzuri nimefanya kazi nao, ubinadamu wao ni mdogo sana. Watanzania tujifunze, tumekuwa tunawaona wachina kama wakombozi lakini ni wanyama wa kutisha. Kwenye tembo wao, wenye shaba wao, wizi wa dhahabu wao na vingine tusivyojua.
 
Back
Top Bottom