Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

ToniXrated

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
1,135
2,976
Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu mzungu hapati sapoti ya kutosha kiwanjani ili asiwike. Yaani wachezaji hao wanataka wawike wao tu ila wanasahau kuwa ni ngumu sana kuifunika nyota inayongaa katika usiku wa mbalamwezi, ni ngumu sana kulifunika jua linalowaka saa sita ya mchana na ni ngumu zaidi kumfunika Dejan, kwanini? Jibu ni jepesi tu, Dejan ndiye mchezaji anayependwa zaidi na wanasimba ukimtoa Chama, mwamba wa Lusaka.

Ni kiwanja gani Dejan atafika wanasimba wasimshangilie?? Jibu hakuna , yaani hata akipewa dakika mbili acheze bado mashabiki watamshangilia maana wana imani nae kubwa sana na taratibu ameanza kulipa imani hiyo kwa kuonesha makali yake uwanjani...Juzi aliondoka na kijiji bahati mbaya alichezewa foul ambayo ilistahili kuwa penalty ila mwamuzi alipeta.

Huyo ndiye Dejan, dubu mwenye rangi ya kahawia kutoka katika msitu wa mbuga ya Tara pale Serbia.

Uongozi wa Simba unatakiwa ufanye hima umlete kocha kutoka ulaya mwenye uwezo kwanza wa kuhandle mastaa wakubwa pia awe na mbinu na falsafa zitakazoweza kutimiza malengo ya simba kimataifa. Ieleweke kuwa simdharau kocha mgunda, ila bado hawezi kuhimili presha ya timu kubwa kama simba. Ni sawa leo hii ukamchukue kocha steve cooper kutoka nottingham forest kisha umpe timu kubwa kama real madrid!! Ni wazi kuwa atachemka tu.

Tunahitaji kocha mwenye authority mithili ya babu Zoran Maki, Didier Da Rosa ,Sven au Pablo. Wachezaji wengi wa kiafrika wamekuwa na kasumba ya kuwadharau makocha wa kiafrika ika ikikaa ngozi nyeupe pale kila mtu anakuwa na adabu.

Ni hayo tu kwa leo.
 
Mbona hayo ni mambo ya kawaida kwenye mechi baina ya wachezaji , kuna mechi kabla ya mgunda mkude na inonga waliwahi kujibizana tena ndani ya uwanja
 
Upuuzi mtupu
 
Watu kama huyu mleta mada ni mashabiki was utopolo a.k.a kinye fc.
Kocha mzungu wa nini?
Aunataka zile sub za kipumbavu zilizowapa ushindi kwenye ngao ya jamii?
 
Mbogo mpe tittle tu ,atakuandikia kitabu page 200
Kilichoonekana ni tukio la sekunde chache sana lakini mpaka sasa kuna stori tofauti tofauti zaidi ya kumi
 
Samahani...mimi ni mtu wa Yanga lakini kuna shida hapa, siwezi vumilia nilichokisoma. Yani mleta uzi unataka kocha aletwe ili aweze kumchezesha Dejan? Si nilidhani, mchezaji mzuri anaweza ku fit kwenye mfumo wowote as long as hajabadilishiwa kitengo anacho cheza? Kisa, Dejan ni mzungu!!!! Angekuwa baharia ungeskia awekwe benchi.
Wacha ata niwashe fegi kabisa nitulize hii stress.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mbona hayo ni mambo ya kawaida kwenye mechi baina ya wachezaji , kuna mechi kabla ya mgunda mkude na inonga waliwahi kujibizana tena ndani ya uwanja
Manula nae kuna siku alizozana na Qattara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom