Wachezaji wa kilimanjaro wafumwa na mwanamke chumban;kila mmoja asema sio wake

hayo mavuta bange na masuka nywele yanaboa.yanapewa kila kitu lakini hayapafomu.posho,uwanja mzuri,kambi safi,mashabiki wa nyumbani,usafiri,chakula,madawa na ahadi kemkem lakini cdo wanadili na vichangu vinavyojishobokeza!
Halafu TFf mna kesi ya kujibu..hivi yule Mkwasa sio kocha wa wanawake yule,au? Huku kwa wanaume kafata nini?
 
sasa kama wanafanya wakiwa kwenye kambi je, wakiwa nyumbani? si ndo balaaaaaaaaaa.
 
Sasa kama wanafanya wakiwa kwenye kambini je, wakiwa nyumbani? si ndo balaaaaaaaaaa.
 
hata kama aliwahi kufanya hivo kosa lake haliwezi kuhalalisha kosa la Taita na Nurdin, lazima kuwe na discpline ya kambi otherwise hakuna haja ya kuweka kambi!!
 
Hat locha wa england yule mswedene nani vile !!!Sven-Göran Eriksson wakati wa world cupaliruhusu jamaa kutinga na vifaa vyao pepmbeni. Tatizo walio wa halali wanazuiwa matokeoinabidi waokote mtaani!!!! mwe!!!!!
 
Back
Top Bottom