Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Top 10 yangu niliyoishuhudia

1. Leo Messi - The Greatest Of All Time
2. Ronaldo de lima
3. Ronaldinho Gaucho
4. Cafu
5. Kaka
6. Forlan
7. Suarez
8. Ivan Zamorano
9. Juninho Penambucano
10. Rivaldo
 
Top 10 yangu niliyoishuhudia

1. Leo Messi - The Greatest Of All Time
2. Ronaldo de lima
3. Ronaldinho Gaucho
4. Cafu
5. Kaka
6. Forlan
7. Suarez
8. Ivan Zamorano
9. Juninho Penambucano
10. Rivaldo
Hapa inabidi rivaldo awe angalau baada ya ronaldinho halafu afuate kaka.. ila umemuonea Roberto Carlos kutokumuweka.😂
 
Rivaldo alikuwa mchezaji mzuri sana ila sasa kwenye top ten anazidiwa na wenzake.
Hahaha toa Zico ( White Pele ) weka Rivaldo.

Unajua hao akina Zico, Careca, Socates na Falcao wanasifika sana kwa ile Samba yao ya mwaka 1982 World Cup ilipofanyika pale Spain (Espana).

Walionyesha soka safi lakini hawakutwaa taji lolote lile. Kwahyo twende na Rivaldo hapo ambaye ana mafanikio kwanzia klabuni hadi timu ya taifa.
 
Point yako ni ya kweli kabisa na pengine mabadiliko yangeweza kufanyika. Ninaamini wanaweza wakatolewa na kuingia wengine.

Ila ukiangalia polls za fifa na hata kule south america hao jamaa zico na socrates wanakubalika sana ndio maana ikawa changamoto kuwaacha.
 
Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa:

1. Messi
2. Pele
3. Maradona
4. Ronaldinho
5. De Stefano
6. De Lima
7. Zico
8. Garrincha
9.Romario
10. Socrates
Mnapoanza kutaja tajeni wakubwa sio kuleta mapenzi, mkubwa aanze kumega nyama.
 
Dunia ina mchezaji bora mmoja tu na si mwingine ni baba lao PELE akisaidiwa na mwanae GAUCHO.

Wengine watafuata baada ya hapo.

Period!
 
socrates alicheza mpira gani zaidi ya kutunga ma Filosofa magumu kama yametoka kuzimu?
 
Hivi Messi unamchukuliaje?? Ballon d'or saba magoli around 700 kwa game around 760 na makombe zaidi ya 40 ndio uhoji uhalali?

Ronaldinho ndio mchezaji ambaye kama angekuwa na consistency ya miaka kumi basi ndio angekuwa namba moja. Jamaa amechukua medali pamoja na makombe yote bila kusahau burudani ya aina yake aliyotuachia mashabiki.
Kama ni Ballon d'or ndo inaamua basi Pelle na Maradona watoe tu muweke Kaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom