Wachangie CCM Wenzangu, CHADEMA haiwahusu.

Naona watu wa ukanda, udini na ukabila mmeamua kuivamia thread..!
 
Mi kafu mke wenu wa kwanza,nadhani naweza kuchangia hii mada maana haya ndo mambo yetu ya kifamilia.
 
Kidumu chama cha Mapinduzi.

Ndugu Makada wenzangu, kama mjuavyo siku zinazidi kupepea na mwaka 2015 ndio huo unatunyemelea kwa kwasi.

Hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu ni shwari licha ya changamoto za hapa na pale tunazokumbana nazo, mathalan kutokana na udhaifu wa baadhi ya wadau tuliowapa jukumu la kuendesha serikali.

Nadhani imefika wakati tuanze KUANDAA mazingira mazuri ya atakayepokea kijiti cha Urais 2015. Hii haimaanishi kwamba kuacha kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya chama la hasha, ni sehemu ya mchakato.

Kwa maoni yangu nadhani hakuna mtu tunayepaswa kumuachia kijiti zaidi Lowassa. Nchi yetu inahitaji mtendaji atakayesukuma gurudumu kwa ustadi na kasi pasipo kuhatarisha umoja wetu. Nadhani tumfariji na kumpa ushirikiano ktk kipindi hiki kigumu anachopitia ili kuitimiza azma hii.

Wenu,

Kada.

Ee Mungu naomba Chama Cha Mapenzi (CCM) wamteue Lowassa.
 
mkimsimamisha lowasa naapa cdm tutatangaza matokeo ya ushindi kabla ya kufnya kampeni
 
wananchi watatuuliza HUYU SI FISADI ALIYEIBA KUPITIA RICHMOND? tukiwambia HAPANA watatuuliza kwanini tulimvua uwaziri mkuu, tukijibu NDIYE watatupiga mawe
Mie sioni shida ikiwa kama mkuu wa kaya haifahamu RICHMOND, unadhani yeye atakuwa amefanya ufisadi kwa kitu ambacho ni hewa (hakipo)?
Tutawaelewesha wananchi ni vya kupakaziwa na aliondoka kwa sababu hapendi kupakaziwa......LOLEST, hii mdio Tanzania bwana!
 
Kidumu chama cha Mapinduzi.

Ndugu Makada wenzangu, kama mjuavyo siku zinazidi kupepea na mwaka 2015 ndio huo unatunyemelea kwa kwasi.

Hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu ni shwari licha ya changamoto za hapa na pale tunazokumbana nazo, mathalan kutokana na udhaifu wa baadhi ya wadau tuliowapa jukumu la kuendesha serikali.

Nadhani imefika wakati tuanze KUANDAA mazingira mazuri ya atakayepokea kijiti cha Urais 2015. Hii haimaanishi kwamba kuacha kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya chama la hasha, ni sehemu ya mchakato.

Kwa maoni yangu nadhani hakuna mtu tunayepaswa kumuachia kijiti zaidi Lowassa. Nchi yetu inahitaji mtendaji atakayesukuma gurudumu kwa ustadi na kasi pasipo kuhatarisha umoja wetu. Nadhani tumfariji na kumpa ushirikiano ktk kipindi hiki kigumu anachopitia ili kuitimiza azma hii.

Wenu,

Kada.

Vipi na sisi wanachama wafu tunaruhusiwa kuchangia hii thread?
 
Bwana, mie ni kada, ila nipo kwa maslahi yangu kibiashara....kiundani naipenda CDM kulikoni chama changu....nahuwa naichangia.Achana na uchwara wa zidumu fikra za Mwenyekiti...kula chako mapema kada wangu
 
Mi nadhani kwa ninavyoona kwenye chama chetu tumweke WASSIRA kwani anamvuto kuliko wote. Atavuta watu wengi kwenye kampeni.
 
Huwezi kuendelea kukaa madarakani na tuhuma.
Hajawataja kwa sababu ya kulinda umoja wa chama na taifa. ​Hata hivyo tunao muda wa kutosha kusafisha hili mbele za wananchi.

Sio kulinda umoja wa chama na taifa. Ni kulinda umoja wa chama (CCM) na wezi.
 
Huyo lowasa wenu ndio atakuwa bus letu la magogoni 2015,na mnavyo muogopa lazima mmpitishe na itakuwa imekula kwenu.
Fisadi maarufu,kiboko ya Nape.

Watu,peeeopppppleeeeeeeeeeeeeesssssssssssss poooooooooweeeeeeeer

Ulitaadhalishwa mkuu kuwa kama wewe si gamba usifungue, sasa wewe unafanya nini wakati wewe gwanda!
 
Back
Top Bottom