Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Mwisho wa siku, kuna siku wachagga wataulizwa kwanini wanatoa matangazo ya vifo redioni, kwanini vikao vya harusi wanafanyia bar na wala si ukumbini. Kwanini wanawasomesha watoto wao shule za "watakatifu" badala ya Kayumba, kwanini wanapenda escudo badala ya corolla, kwanini wanakunywa bia badaka ya mnazi. Ili mradi tu ni wachaga basi lazima waulizwa. Maswali kwa wachaga yakipungua, watahamia kwa wahaya, afu wasukuma kisha wanyakyusa.