Wachagga malimbukeni wa mapenzi, wanaua na kujiua

Mmesema mengi sana but all in all, mauaji mengine huwa yanatokea kutokana na kudaiwa na mizimu damu ambazo walimwaga mababu au wahenga wao miaka ya nyuma. Hii haina mchagga wala nani, ni hasara inayotokana na kutambikia mizimu na kutambikia mizimu ni kuweka maagano ya damu na shetani, sasa inapofika mahali hayo matambiko hayafanyiki tena ndio utasikia mauaji kama hayo. manake haiingii akilini mtu mwenye akili timamu kuua hovyo na kujiua mweyewe hivihivi tu, inakuwa ni lile agano la mizimu linamsukuma kufanya hivyo manake mizimu inadai damu ambayo mliwekeana makubaliano ya kumwaga damu kila baada ya muda fulani. sasa kama ulikuwa unamwaga damu kwa kuchinja mbuzi then ukafika mahali ukaacha, kumbuka lile agano bado lipo kwahiyo damu yako au ya wanao au wajukuu au vitukuu na kuendelea itamwagika mpaka mtakapo vunja hilo agano au mwendelee kutambikia hiyo mizimu. Acheni kutambika na vunjeni hayo maagano ya damu mliyofanya na mizimu/kuzimu ili muwe safe. Hii ni kwa wale ambao huwa wanatambika mpaka leo, hiyo ndio gharama yake na sio sababu ya mapenzi wala pesa.

umeongea KITU KIKUBWA SAAANA....
 
Mimi nashukuru majanga yalinikuta mapema kabisa niko form four miaka ya 90's.

That was my PHD in relationship, but the problem is no any woman who can win my heart 100%. Natimiza wajibu wangu tu.

Pole sana...I have been there so naelewa vizuri ukisemacho,somebody alibadili all my perception abt LOVE

in the BOLD give me a chance you can see that statement changes lol
 
You chop both my money and feelings.....bang bang baaang!!! Tumechoka.....hatuna jinsi tutawatwanga shaba tuu.Hakuna njia nyingine!!
 
Pole sana...I have been there so naelewa vizuri ukisemacho,somebody alibadili all my perception abt LOVE

in the BOLD give me a chance you can see that statement changes lol

Commitment nazo zimeongezeka naona mabeb's of my age and gents mapenzi yameamia kwa watoto, you need more skills to win my heart.
 
Commitment nazo zimeongezeka naona mabeb's of my age and gents mapenzi yameamia kwa watoto, you need more skills to win my heart.

siku hizi mapenzi yanazidi kubadilika sana...mabeb's wanatoka na wazee wao

hahaaaaa who knows may be am full equiped with those skills....
 
badili to wachaga weka wamachame, maana hilo liko wazi kuwa wadada wa kimachame ndo zilikuwa zao sasa yule wa u4444 alikuwa ni Mushi na huyu wa sasa ni Munisi na kiukweli wote ni wamachame hao sasa kauli yako ikae poa sema wamachame wanajimaliza kwa sababu ya mapenzi na si wachaga.

Nakuunga mkono Kiboje, wabadili msemo, wamachame wanapenda mali kuliko uhai wa mtu, U44444 ni Machame moja alidhulumu mali na huyu Munisi kadhulumiwa....... machame ni watu wa kukaa nao mbali sana, na wanapenda kutawala mali wasizozitokea jasho, kumuua mtu au kumtoa mtu ndani ya nyumba yake ni kitu simple sana kwao!! Stay far from this people.
 
yuko salama aliandaa na Ibada ya kumshukuru Mungu baada ya kuponea kwenye tundu la sindano

Ila kala kiapo hafungui kinywa chake kueleza sababu ya yaliyotokea

sheria si itambana kwenye maelezo polisi?......... kiintelijensia inaweza isiwe jamaa amejiua bali wao ndiyo waliomrestisha mushi wa watu in peace ..........
 
sheria si itambana kwenye maelezo polisi?......... kiintelijensia inaweza isiwe jamaa amejiua bali wao ndiyo waliomrestisha mushi wa watu in peace ..........

na mie nikashangaa..........we unadhani aliua hivi hivi there was a reason which intrigued his action
 
Nakuunga mkono Kiboje, wabadili msemo, wamachame wanapenda mali kuliko uhai wa mtu, U44444 ni Machame moja alidhulumu mali na huyu Munisi kadhulumiwa....... machame ni watu wa kukaa nao mbali sana, na wanapenda kutawala mali wasizozitokea jasho, kumuua mtu au kumtoa mtu ndani ya nyumba yake ni kitu simple sana kwao!! Stay far from this people.

Mwalimu wako alipata shida sana, ona unavyojichanganya!!

Ufo saro mmachame kadhulu pesa =mpenda pesa.

Haya Munisi mmchame kaliwa pesa, sasa sijuwi wewe unataka kuwagroup wapi wamachame?

Simply you're anti chagas especially Machame huna lolote.
 
Back
Top Bottom