hatufanyiwag sensa kishamba hvi bila pombe, pesa na ndafu. . . Vilete kwanza ndo uombe kutuhesabu.
hatufanyiwag sensa kishamba hvi bila pombe, pesa na ndafu. . . Vilete kwanza ndo uombe kutuhesabu.
tatizo sio upare tatizo ni kwamba wote ni wezi mnaogopa mkinyosha mikono mtasachiwamwambie bana.....hatujawa wapare sisi.....
Hebu tanguliza pesa kwanza aisee..
Mnataka kuleta ujamaa hadi humu jamvini.
hatufanyiwag sensa kishamba hvi bila pombe, pesa na ndafu. . . Vilete kwanza ndo uombe kutuhesabu.
tatizo sio upare tatizo ni kwamba wote ni wezi mnaogopa mkinyosha mikono mtasachiwa
acha kuleta mambo ya ukabila kishamba humu wewe.........
Aisee hii ni ya nini arifu?
mimi ndiye mangisina wa kibosho
leta mtango kwanza ala!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hebu tanguliza pesa kwanza aisee..