molely molly JF-Expert Member Nov 28, 2011 317 30 Aug 14, 2013 #1 Mgomba uupande mwenyewe ndizi wakale wa mjiniii?????
onyinye Member Aug 11, 2013 52 9 Aug 14, 2013 #3 Kwani wakienda kwao si wanaenda na mchele ndo mana anarudi na ndizi.