Wachaga tupe siri na sisi wengine

kama una rafiki mchaga...muombe,mlilie December akiwa anaenda kwao na ww uende hata kwa gharama zako uone wanapokutana,majadiliano,mazungumzo,Target ktk biashara ndani ya mwaka mzima,ukifanikiwa kusikiliza tu amini nakwambia ukirudi utakua mpya kama upo sirias na maisha kuna kitu utakua umeongeza
Watu wanaenda kutoa shukrani kwa wazee na mizimu yao wewe unataka uende nao amini nakuambia huwa migombani wanaenda wanafamilia tu matambiko na umwagaji damu unafanyika wewe utabaki jikoni ukichochea moto wa kisusio.
Ila wachaga ni watu wakuhastle sana na nidhamu ya pesa huo ndio utafutaji wewe kama unatumia pesa kiholela ndugu mafanikio utayaskia kwa wenzako tu
Na hawa watu ninao wajua wanaumwa vidonda vya tumbo wako radhi wajinyime kula ili afanikishe jambo lake.
Kuna mmoja alianguka chini na kuzimia mida ya saa kumi, tukamwaisha hospital baada ya vipimo nesi anatuambia tutafute mtori tukaleta akapewa na drip za kutosha jamaa akawa fiti, kumbe ni njaa ilimwangusha na mfukoni alikuwa na kama laki nne na chenchi hivi alikuwa mfanyabiashara ya hardware.
 
Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Ndo maana kuna kitu kinaitwa siri ya mafanikio...
 
Pesa wanakosa walala nyumba za nyasi
Ndugu zako hawana pesa ya matibabu mpaka wanakufa👇👇

Watu wanaenda kutoa shukrani kwa wazee na mizimu yao wewe unataka uende nao amini nakuambia huwa migombani wanaenda wanafamilia tu matambiko na umwagaji damu unafanyika wewe utabaki jikoni ukichochea moto wa kisusio.
Ila wachaga ni watu wakuhastle sana na nidhamu ya pesa huo ndio utafutaji wewe kama unatumia pesa kiholela ndugu mafanikio utayaskia kwa wenzako tu
Na hawa watu ninao wajua wanaumwa vidonda vya tumbo wako radhi wajinyime kula ili afanikishe jambo lake.
Kuna mmoja alianguka chini na kuzimia mida ya saa kumi, tukamwaisha hospital baada ya vipimo nesi anatuambia tutafute mtori tukaleta akapewa na drip za kutosha jamaa akawa fiti, kumbe ni njaa ilimwangusha na mfukoni alikuwa na kama laki nne na chenchi hivi alikuwa mfanyabiashara ya hardware.
Akili za wavivu
 
Huko uchagan vijijin makanisa ni ya kisasa kabisa
FB_IMG_16367836079007853.jpg
FB_IMG_16367764222519488.jpg
 
Back
Top Bottom