Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Wachache wanaofaidi...!
Hebu tueleweshe zaidi. Wanafaidi nchi kwasbabu wana vitambi au kuvaa miwani? Au ni akina nani? Mimi naona ni watu walio comfortable tu waki enjoy view probably national park.Ila wamekaa kifisadi fisadi hahah but don't quote me on that.
Tatizo wanaua Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) huku wanatumia hela za shirika ambazo ni zetu Watanzania kwenda kula maraha mbugani (management ya shirika na bodi ya wakurugenzi).