Wachache wanaoifaidi Tanzania

Mhafidhina

JF-Expert Member
Feb 6, 2008
549
22
Wachache wanaofaidi...!

Wachache.jpg

Wachache 1.jpg
 
Hebu tueleweshe zaidi. Wanafaidi nchi kwasbabu wana vitambi au kuvaa miwani? Au ni akina nani? Mimi naona ni watu walio comfortable tu waki enjoy view probably national park.Ila wamekaa kifisadi fisadi hahah but don't quote me on that.
 
Waliopo hapo ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tanzania Tourist Board, Bw David Mattaka(Kulia)akimwonyesha kitu mjumbe wa bodi Bibi Rose Abdallah (kushoto)na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk Aloyce Nzuki wakati walipotembelea hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara Hivi karibuni.

Hio picha ya pili ni:

Bw David Mattaka(kushoto)Rose Abdallah(wa pili kushoto)Mh Raynald Mrope Katikati,Mh George Malima Lubeleje(Wa Pili Kulia)wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa njiani kuelekea kwenye bonde la Ngorongoro
 
Hebu tueleweshe zaidi. Wanafaidi nchi kwasbabu wana vitambi au kuvaa miwani? Au ni akina nani? Mimi naona ni watu walio comfortable tu waki enjoy view probably national park.Ila wamekaa kifisadi fisadi hahah but don't quote me on that.

Ila wamekaa KIFISADI?, - acha chuki wewe.
 
wanfaidi nini? na ni akina nai?
kwani wewe umekatazwa kufaidi?

Tatizo wanaua Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) huku wanatumia hela za shirika ambazo ni zetu Watanzania kwenda kula maraha mbugani (management ya shirika na bodi ya wakurugenzi).
 
Kutembelea mbunga za wanyama ndy KULA NCHI?......au unaongelea mambo mengine?
 
Tunaambiwa kila siku tukuze utalii wa ndani hatutaki. Wachache wakitoa mfano wanakula nchi!
 
Tatizo wanaua Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) huku wanatumia hela za shirika ambazo ni zetu Watanzania kwenda kula maraha mbugani (management ya shirika na bodi ya wakurugenzi).

lakini si wanatimiza majukumu yao mbona sijaona tatizo hapo?
 
Back
Top Bottom