Wabunge wakiburudika baada ya kazi ya kulijenga taifa

hivi yule dogo aliyeko segerea alikua anafanya vipi

majambo na huyu Komba? sipati picha

aaaaah KIDUKU!!ina maana mh.kumbe naye alikuwa anakabaka kale kabinti!!!!???duuuuhh twafaaaa!!!kumbe ndio maana kalidai ile cm iliyoleta kizazaaa ilikuwa imepigwa na mtu maarufu sana nchini!!!
 
Ndio maana dogo wa segerea alikuwa analala bar alisha anza kuwa na tabia kama za mpendwa wake.
 
Duh hili lijamaa kwenye uchaguzi wa Arumeru lilishindwa kusimama kabisa hii itakuwa picha ya zamani.

404985_10150779494028620_818678619_9568329_1682452053_n.jpg
 
Hivi, hii nchi ni ya nani? waache wale. Sioni wivu wao kula; wananchi kwa kushabikia vyakula, buku 5 na nyimbo huchanganyikiwa na kuamini atoae ni bora. Kuna wananchi wanaamini pesa hazijaliwa eti ni mpango wa wapinzani, ni mapumbavu sana.Mbunge wako akija jimboni mwulize mbona hukuandika jina lako kupiga kura dhidi ya mawaziri mafisadi?
 
Back
Top Bottom