Unakumbuka ile ya Kakobe kusema Mrema ndio chaguo la Mungu mwaka 2005 na akawataka wafuasi wake wampigie kura Mrema?Hawa viongozi wa dini wanaoingia kwenye siasa huwa wana wa confuse sana wafuasi wao.
KUna mtu unakuta anampenda sana huyo mama kiimani anasali hapo kwake lakini bahati mbaya sio mwana CCM ni Chadema mfukurukutwa dah! sasa hapo sijui inakuwaje.
wapo wengi humu hata mimi ni mmoja wao,nikutajie wengine?ila shhhhhh husimwambie mtu,ha ha haKumbe the good Reverand doctor ni mwanachama wa JF :lol:
Hawa viongozi wa dini wanaoingia kwenye siasa huwa wana wa confuse sana wafuasi wao.
KUna mtu unakuta anampenda sana huyo mama kiimani anasali hapo kwake lakini bahati mbaya sio mwana CCM ni Chadema mfukurukutwa dah! sasa hapo sijui inakuwaje.
Kumbe mama Lwakatale huwa anapita hapa safi sana ..msg send
wapo wengi humu hata mimi ni mmoja wao,nikutajie wengine?ila shhhhhh husimwambie mtu,ha ha ha
Ukweli ni kwamba karibu viongozi wote wenye akili timamu wako humu ndani asiyekuwemo ni yule asiye na akili tyimamu tu maana kama we ni mwanasiasa makini lazima ujue nini kinajenga ama kubomoa mwanasiasa