Wabunge wa viti maalum CDM kuongezeka?

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Idadi ya viti maalumu bungeni kama sikosei, CCM 65, Chadema 25, CUF 10.
CDM wameongeza mbunge mmoja wakuchaguliwa kwa hiyo kura za ubunge pia zimeongezeka. Hapo mahesabu yanakuwaje, kama mbunge mmoja hataleta changes zozote tuseme CDM wakashinda tena Segerea? bado kutakuwa hakuna changes. Nakama kutakuwa na changes kwa maana kwamba CDM wanaongeza mbunge wa viti maalum, je, idadi ya viti maalum vya CCM itapungua au itabaki kuwa ile ile?

Naomba yeyote angalau anayefahamu mahesabu yake anifahamishe. Asante.
 
Idadi ya viti maalumu bungeni kama sikosei, CCM 65, Chadema 25, CUF 10. CDM wameongeza mbunge mmoja wakuchaguliwa kwa hiyo kura za ubunge pia zimeongezeka. Hapo mahesabu yanakuwaje, kama mbunge mmoja hataleta changes zozote tuseme CDM wakashinda tena Segerea? bado kutakuwa hakuna changes. Nakama kutakuwa na changes kwa maana kwamba CDM wanaongeza mbunge wa viti maalum, je, idadi ya viti maalum vya CCM itapungua au itabaki kuwa ile ile? Naomba yeyote angalau anayefahamu mahesabu yake anifahamishe. Asante.

Viti Maalum vinatokana na percentages ya kura za Uraisi. hivyo kwa sasa haiwezekani chadema au ccm wakaongezewa au kupunguziwa viti kutokana na kuongeza au kupoteza wabunge wao. Ikitokea nafasi ya viti maalumu iko wazi inajazwa kwa taratibu kama zilizotumika kwa Mtema Regia (RIP)
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Kama kungekuwa na kupunguza..ningeshauri wampunguze Mch, Dr, Mh, Mama....G coz sioni anachofanya pale bungeni zaidi ya kulamba sitting allawance yetu bure.
 
vile vile viti maalumu vinatokana na makundi furani kama umoja wa wanawake na vijana, ambapo uwakilishi uleshafanyika,
 
Back
Top Bottom