Dkt. Biteko amsifu Mbunge wa Viti Maalum Subira Mgalu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa wasomi wakubwa na mahesabu na mbobevu katika uchumi.

"Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za uchunguzi. Subira Mgalu akawa Mwenyekiti wangu wa Kamati. Huyu ni msomi wa mahesabu, ni mchumi mzuri, ana CPA hapo unapomuona, yuko hivi hivi mpole mnvyomuona anapiga magoti" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu, alikuwa Naibu Waziri wa Nishati, alikuja hadi Bukombe kutuwashia Vijiji na alifanya kazi na Kalemani. Sasa hivi ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Wanawake Tanzania na ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani: Bungeni, Wabunge wote Wanawake yeye ndiye Katibu wao" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu nilifanya naye kazi. Kabla sijateuliwa kuwa Naibu Waziri nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Hawa wote walinipokea Bungeni na Mama Chatanda wakanifundisha na namna ya kukaa Bungeni" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Huyu, Mhe. Subira Mgalu, Mhe. Spika akaunda Kamati Maalum, moja nikafanywa kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wangu akawa Mgalu. Mgalu ni bingwa wa mahesabu, mchumi aliyebobea na kwenye Kamati yetu tukawa tunamuita CAG, alinisaidia sana" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Baada ya ile kazi ya Kamati tulivyomaliza tu, Oktoba 2017 Mhe. Mgalu akateuliwa kuwa Naibu Waziri kwasababu kipaji chake kinaonekana. Mama Chatanda sikushangaa kumchukua kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji kwasababu ya uwezo mzuri, ana uwezo wa kuunganisha watu" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

b522c250da1cb923f941bb32319b1ff9.jpg
pic-subiri.jpg

MHE. DKT. DOTTO BITEKO: "SUBIRA MGALU NI MSOMI MKUBWA WA MAHESABU, MCHUMI ALIYEBOBEA, BUNGENI TULIMUITA CAG"

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa wasomi wakubwa na mahesabu na mbobevu katika uchumi.

"Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za uchunguzi. Subira Mgalu akawa Mwenyekiti wangu wa Kamati. Huyu ni msomi wa mahesabu, ni mchumi mzuri, ana CPA hapo unapomuona, yuko hivi hivi mpole mnvyomuona anapiga magoti" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu, alikuwa Naibu Waziri wa Nishati, alikuja hadi Bukombe kutuwashia Vijiji na alifanya kazi na Kalemani. Sasa hivi ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Wanawake Tanzania na ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani: Bungeni, Wabunge wote Wanawake yeye ndiye Katibu wao" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu nilifanya naye kazi. Kabla sijateuliwa kuwa Naibu Waziri nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Hawa wote walinipokea Bungeni na Mama Chatanda wakanifundisha na namna ya kukaa Bungeni" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Huyu, Mhe. Subira Mgalu, Mhe. Spika akaunda Kamati Maalum, moja nikafanywa kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wangu akawa Mhe. Mgalu. Mgalu ni bingwa wa mahesabu, mchumi aliyebobea na kwenye Kamati yetu tukawa tunamuita CAG, alinisaidia sana" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Baada ya ile kazi ya Kamati tulivyomaliza tu, Oktoba 2017 Mhe. Mgalu akateuliwa kuwa Naibu Waziri kwasababu kipaji chake kinaonekana. Mama Chatanda sikushangaa kumchukua kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji kwasababu ya uwezo mzuri, ana uwezo wa kuunganisha watu" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Chawa unataka tujadili nini sasa?
 
"Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za uchunguzi. Subira Mgalu akawa Mwenyekiti wangu wa Kamati. Huyu ni msomi wa mahesabu, ni mchumi mzuri, ana CPA hapo unapomuona, yuko hivi hivi mpole mnvyomuona anapiga magoti" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Hii habari ina moto ndani yake, siyo habari njema kwa yule mvaa bendera shingoni
 
Ccm ni Buffet mezani

Wewe ( Mpiga kura) kazi yako ni kuchagua dishes unazopenda na kuachana na usizopenda badala ya kutweza

Serikali ina Wanasiasa wa aina zote na itaenda nae kwa Wananchi yule ambae watamuhitaji

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Mtu mwenyewe anaitwa subira toka pwani🤣🤣
Sasa watu wa pwani na shule au mahesabu wapi na wapi?
 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa wasomi wakubwa na mahesabu na mbobevu katika uchumi.

"Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za uchunguzi. Subira Mgalu akawa Mwenyekiti wangu wa Kamati. Huyu ni msomi wa mahesabu, ni mchumi mzuri, ana CPA hapo unapomuona, yuko hivi hivi mpole mnvyomuona anapiga magoti" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu, alikuwa Naibu Waziri wa Nishati, alikuja hadi Bukombe kutuwashia Vijiji na alifanya kazi na Kalemani. Sasa hivi ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Wanawake Tanzania na ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani: Bungeni, Wabunge wote Wanawake yeye ndiye Katibu wao" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Subira Mgalu nilifanya naye kazi. Kabla sijateuliwa kuwa Naibu Waziri nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Hawa wote walinipokea Bungeni na Mama Chatanda wakanifundisha na namna ya kukaa Bungeni" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Huyu, Mhe. Subira Mgalu, Mhe. Spika akaunda Kamati Maalum, moja nikafanywa kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wangu akawa Mgalu. Mgalu ni bingwa wa mahesabu, mchumi aliyebobea na kwenye Kamati yetu tukawa tunamuita CAG, alinisaidia sana" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

"Baada ya ile kazi ya Kamati tulivyomaliza tu, Oktoba 2017 Mhe. Mgalu akateuliwa kuwa Naibu Waziri kwasababu kipaji chake kinaonekana. Mama Chatanda sikushangaa kumchukua kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji kwasababu ya uwezo mzuri, ana uwezo wa kuunganisha watu" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

View attachment 2766769View attachment 2766770
View attachment 2766771
View attachment 2766772

Ambaye alipitisha azimio la bandari kuuzwa, sasa unguli wake unatusaidia nini?
 
Sifa na Taarifa hii inamsadia nini Bibi yangu mvua migebuka kule UVINZA?? ni UHARO tu
 
Back
Top Bottom