Wabunge wa upinzani hamjatumwa bungeni kuzomea

Dr Tulia Ackson alishindwa kujibu swali la Mheshimiwa Silinde ndipo Ndugai akamuokoa kwa kumuambia akakae. Zomea zomea ikafuata amebebwa....amebebwa....amebebwa......
 
wanaweza pia kusema hapanaaaaaaa ila hatupendezwi na tabia za kihuni bungeni, kutukana na kuzomea sio akili wala ujanja zaidi sana ni ukanjanja tu.

Uhuni ni kusema ndiyoo kwa kila jambo na kushangilia pale ambapo panastahili kuzomewa.

Uhuni tumeuona wakati wabonge wa FISIEMU wakishangilia waziri mkubwa aliposema "wapigwe tu". Tena wakashangilia vilivyo alipotamka "wauaji wa albino nao wauwawe". Uhuni na pale wabonge wa FISIEMU wanapounga mkono porojo zozote zinazoletwa na sirikali. Uhuni ni kushangilia fedha za ESCROW zinapoelezwa kuwa si za serikali.

Tena uhuni uliokithiri ni kumruhusu rahisi haramu wa Zenji kuingia bungeni. Huo ni uhuni babu kubwa. Kwa bahati mbaya unafanywa na wabonge wa FISIEMU.

Wabonge wa namna hiyo na sirikali yao wakizomewa haki yao kabisa. Kama nilivyokudokeza hapo awali, kwenye mabunge yenye akili wangetiwa adabu kwa makonde au bakora kabisa ili kulinda hishima.
 
Mkuu unatak kwenye watu zaidi ya 300 wawe na akili moja?penye wengi pana mengi lazima tujifunze kuvumiliana.

ni kweli mkuu ndio maana wewe unaafiki uhuni huo na mimi siuafiki naimani pia wapo ambao hawapendezwi nao kama mimi.
 
wanaweza pia kusema hapanaaaaaaa ila hatupendezwi na tabia za kihuni bungeni, kutukana na kuzomea sio akili wala ujanja zaidi sana ni ukanjanja tu.

Hata ndioooooooo ni akili za kihuni, pole sio chekechea mnaimba table
 
Dr Tulia Ackson alishindwa kujibu swali la Mheshimiwa Silinde ndipo Ndugai akamuokoa kwa kumuambia akakae. Zomea zomea ikafuata amebebwa....amebebwa....amebebwa......

Nilikuwa na hamu ya kumsikiliza Dr Tulia lakini zomeazomea zikaharibu kila kitu!zomeazomea ilikuja wakati anaelekea kujibu swali..ukawa wawe na subira wanatunyima uhondo wa mambo kutoka bungeni!
 
Nilikuwa na hamu ya kumsikiliza Dr Tulia lakini zomeazomea zikaharibu kila kitu!zomeazomea ilikuja wakati anaelekea kujibu swali..ukawa wawe na subira wanatunyima uhondo wa mambo kutoka bungeni!

bado inaelekea kuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha wananchi na wana ukawa nini maana ya neno upinzani.
 
Huoni aibu wizi uliofanyika uchaguzi mkuu? Na kulazimisha kutangaza matokeo ya wizi na kumuhujumu lowasa ? Uoni aibu wabunge wa ccm na serikari yao kulazimisha kuwatangaza wameshinda? Uoni haibu serikari inavyoweka nguvu wananchi wapigwe mabomu pasipo sababu? Jinga kubwa wewe njaa zinakusumbua
 
Naona aibu sana kwa nchi yangu.

Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.

Kwa bahati mbaya sana, wabunge waliochaguliwa kwa tiketi ya ukawa wanadhani upinzani ni kupiga kelele bungeni, kutukana, kubishia kila kitu na pia kutoka nje.Sidhani waliowachagueni waliwapa dhamana hiyo, mkafanye mnayoyafanya sasa.

Mkiwa majukwaani mbona hampigi makelele hovyo au kutukana au kuzomea au kukimbia majukwaa kama mnavyofanya mkiwa bungeni.Mkiwa mnaomba kura mnaigiza busara za hali ya juu, kumbe hamnazo hata chembe.

Acheni ujinga na kudhalilisha bunge letu na pia wananchi waliowapigia kura wananchi angalieni wabunge mliowachagua, wanawaaibisha.

Mi wangu nilimtuma akazomee upuuzi wowote utakaofanyika pale bungen. Na si kupeleka mipasho na kushangilia. Hyo ni kwa upande wang mm
 
Mimi nimemchagua mbunge wangu akalete kwere ya hatari hapo bungeni kupinga unajisi wa demokrasia unaofanywa na CCM.
 
Nilikuwa na hamu ya kumsikiliza Dr Tulia lakini zomeazomea zikaharibu kila kitu!zomeazomea ilikuja wakati anaelekea kujibu swali..ukawa wawe na subira wanatunyima uhondo wa mambo kutoka bungeni!

bado inaelekea kuna kazi kubwa sana ya kuwaelimisha wananchi na wana ukawa nini maana ya neno upinzani.
 
Ndo mana nikaama chadema kwa sababu ya uhuniuhuni ka huo

na bado watahama wengi tu maana kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo uhuni unavyojidhihirisha kuficha tabia ni sawa na kujaribu kuficha moto, moshi utakuumbua tu.
 
Watu zawid ya 300 kweli hawawezi lingana akili wengine wavuta bangi wengine wanywa viloba wengine watu wa dini sasa watutabangi linalokuja kichwani sawa tu kwao kulitoa
 
Naona aibu sana kwa nchi yangu.

Unapotazama bunge na kuona jitu zima kabisa na akili zake, tena limepata kura elfu 30, ili kuwawakilisha wana nchi wa jimbo lake anaishia kusema "buuuu" , hiyo sio sifa wala akili ni matope.

Kwa bahati mbaya sana, wabunge waliochaguliwa kwa tiketi ya ukawa wanadhani upinzani ni kupiga kelele bungeni, kutukana, kubishia kila kitu na pia kutoka nje.Sidhani waliowachagueni waliwapa dhamana hiyo, mkafanye mnayoyafanya sasa.

Mkiwa majukwaani mbona hampigi makelele hovyo au kutukana au kuzomea au kukimbia majukwaa kama mnavyofanya mkiwa bungeni.Mkiwa mnaomba kura mnaigiza busara za hali ya juu, kumbe hamnazo hata chembe.

Acheni ujinga na kudhalilisha bunge letu na pia wananchi waliowapigia kura wananchi angalieni wabunge mliowachagua, wanawaaibisha.

Wewe ulichagua wakwako kwa kazi ya "NDIYOOOOOOO".Wapinzani nao walichagua wakwao kwa kazi hiyo wewe unayoiita ni kuzomea. Shughulika/Shauri wa kwako, na waupinzani watashauriwa na wakwao.

Kama inakuuma kuzomewa,waambie wakwako ambao ni wengi bungeni wapeleke mswaada wa kufuta vyama vingi ili kazi ya "ndiyooooo" iwe rahisi.
 
Dr Tulia Ackson alishindwa kujibu swali la Mheshimiwa Silinde ndipo Ndugai akamuokoa kwa kumuambia akakae. Zomea zomea ikafuata amebebwa....amebebwa....amebebwa......

Kweli kabisa lile swali lilimfunga vibaya sana!! Tatizo la vilaza wa ccm kila tulia akiulizwa swali hata halijaisha wanazomea na kupiga kelele...na tulia mwenyw anaulizwa hiki anajibu kile!!! Akitaja tu vifungu vya sheria ccm wanashangilia bila hata kuelewa anajibu kitu gan...sasa kwa nn msimzomewa labda??? Yaan kasema kifungu cha sheria na 72 yaan hadi yule wa darasa la saba akashangilia na tulia aliemda opp!! Na bila Ndugai pale tulia angeweka rekod ya umbumbumbu!!!
 
Back
Top Bottom