trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 738
WHEN I FOUGHT FOR REVOLUTION I HAD 82 MEN. IF I HAD TO DO IT AGAIN I WILL NEED 10 OR 15 MEN. NOTHING IS IMPOSSIBLE IF YOU HAVE ABSOLUTE FAITH AND PLAN OF ACTION..! {fidel castro}
ni tundu lissu , godbless lema , freeman mbowe ( kub) mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi y wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma , ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya ccm , imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za chadema nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize chadema kwa kuangamiza wabunge wake machachari . ( kikao kimeka girrafe hotel dar .
Mimi najishangaa kwasasa,maana imani yangu ni kuwa CDM haiwezi kuzimwa kwa lolote kwa sasa.....
hivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
Mtu kama Lema ana kashfa kibao za ujambazi. Yaani huyo kummaliza wala hutumii nguvu.
Vipi dogo, umeshamaliza supplementary zako za IT na DS?
Juzi nilimsikia mar. baba wa Taifa akisema Upumbavu ni kipaji kama ilivyo ufupi, urefu n.k Sasa kuna watu humub JF wana vipaji vya upumbavu ukiwagunda wala usihangaike nao kabisa.acha upumbavu hii thread ina husiana nini na hayo unayo yauliza hapa...
Kwaiyo bila hawa watatu chama kinakufa?Ni Tundu Lissu , Godbless Lema , Freeman Mbowe ( KUB) mkakati huo unafadhiliwa na watu wa usalama wa taifa na baadhi y wahariri wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na umma , ambavyo hivi karibuni vimekuwa vikifanya kazi ya CCM , imetakiwa itumike kila njia kurudisha harakati za Chadema nyuma kabla ya 2013 na huku wakisema kwamba ni lazima waiangamize Chadema kwa kuangamiza wabunge wake machachari . ( kikao kimeka Girrafe Hotel Dar .
Wewe bila shaka utakuwa ni Lema, naona una akili za kijambazi jambazihivi chadema itachukua miezi mingapi kuandaa vijana maana wao wanatuua na bado wanapanga kuwababikia viongozi wetu kesi za ajabu mbaya zaidi ni hawa wanao jiita eti usalama wa taifa..wameshi kuia wanyama kutorosho wamebaki kumfata fata lema, tuna wafahamu siku wakifanikiwa tutamfata lema huko gerezani msifikilie hatuwajui mnajidai kujichanganya na sisi kwenye mikutano iko siku tutawatoboa na bisibisi mbwa nyie
Nionavyo mimi ,Ni hatari sana kuua upinzani wa vyama kwa sasa, kwani kwa hali tuliyofikia ni dhahiri kuwa cdm kinatumika na wananchi kama expression ya wananchi dhidi ya utawala uliopo.
idadi ya watu wanaouchukia utawala uliopo inaweza kuwa kubwa kuliko wanachama wa vyama vya siasa .
Movement ya Mageuzi ikianza bila chama ni mbaya kuliko ccm wanavyodhani.