hilo hata mimi nililiona long time, maana wabunge wa chadema wanaweza kutumika vibaya sana maana kama wameshindwa kununua majimbo sasa wanaweza kufanya hila tofauti zaidi ya hizo,nawaomba viongozi wa chadema wawemakini sana juu ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.