fikrapevu sungura
Senior Member
- Oct 26, 2011
- 110
- 11
Wana JF nimefuatilia Bunge linaloendelea huko DOM toka mjadala wa katiba ulipoanza, inaonyesha kama hawa Wabunge wa CCm wanatumwa kuzungumza maana kila anayesimama kuchangia, hatoi points zaidi ya kushambulia CDM hv kwa mtazamo huu kilichowapeleka Bungeni kitatimia au wanawaza ndani ya miaka 5 tu bila kufikiri kama wananchi wameamka na hawatowarudisha kwenye viti vya kunesanesa?