WABUNGE VILAZA Na UTAJIRI WELIOSHEHENI!

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
Nimefuatilia kwa karibu campaign za ccm katika chaguzi mbalimbali na nimebaina kuwa katika majimbo yote yenye utajiri wa madini na rasimali nyingine za thamani ccm hufanya kila mbinu kuhakikisha inashinda uchaguzi. Pia ccm huhakikisha raia wa eneo huska wanabaki maskini:- kwa uchache hii ndiyo mifano ya majimbo husika na utajiri uliosheneni:-
1. Mbinga - Utajiri wa Dhahabu, Chuma na vito vya thamani
2. Nyang'hwale - Utajiri wa dhahabu na miti migumu ya asili
3. Geita - Dhahabu
4. Shinyanga - Dhahabu na Almasi
5. Tarime - Dhahabu na Wanyama pori
6. Igunga - Dhahabu na Almasi
7. Mafia - Mafuta na Gesi asilia
8. Mkuranga - Mafuta na gesi asilia
9. Mtwara - Mafuta na gesi asilia
10. Njombe - Kilimo cha biashara na Madini ya chuma
11. Namtumbo - Uranium, dhahabu na wanyama pori
.
.
.
.
.
.
.
.
Waweza kuongeza orodha.
Chunguza wabunge wanaotoka katika hayo majimbo/wilaya na michango yao bungeni
Swali langu ni: is this a coincidence or calculated move to protect the looters?
 
Ludewa-chuma
Chunya-dhahabu
Bahi-uranium
hai/rombo-kilimanjaro mountain
kilombero-valley
rufiji-valley
ukerewe-samaki
mafia -utalii/mafuta
tukuyu/njombe-chai
nk nk
yaan kila mahali ni neema tu
hata jangwani singida kuna kuku
dodoma kuna zabibu
monduli kuna ngozi
yaani kila
 
hata haya yana mwisho ..hizi sifuri wanazozitengenezza kutoka kwenye shule za kata bila wao kujijua ni bomu tosha
 
Bukoba,Karagwe,Muleba,.
Chai,Kahawa,madini ya Bati,Samaki,Utalii,Kilimo cha Miwa(sukari)bonde la mto Kagera lakini wananchi wengi ni maskini.
 
Arusha-Mirungi+ msuba
Singida mashariki- Mataputapu
Ubungo- Mabasi
Hai-Mbege
Kigoma-Dagaa + ubishi
Iringa- Bongo flava
 
Arusha-Mirungi+ msuba
Singida mashariki- Mataputapu
Ubungo- Mabasi
Hai-Mbege
Kigoma-Dagaa + ubishi
Iringa- Bongo flava
Kongwa -karanga na mahindi
Mpwapwa - Reli ya kati
Babati vijijini - Bonde la kiru na bonde la shauri moyo
 
Morogoro na Musoma----wanageshi na polisi kwa wingi

Hii haTari kweli kweli
 
tanzania iliweka naziri ya umasikini tangia mwaka 1967. hata tukija gundua mafuta mengi zaidi ya saudi arabia, wananchi hatutaona matunda yake. madhala ya kujenga ujamaa na kujitegemea katika nchi hii ni makubwa sana kuliko hata kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe. tuna rasilimali nyingi kuliko Canada lakini ni masikini kuliko somali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hii ni laana ya kuwachukia wayahudi. Kenya sasa wana CCTV africa, sisi bado tuna mafisadi africa?
 
......sure
 
Tango!
Wayahudi wanahisika vipi na kupanga vipao mbele vyetu?

Back
Top Bottom