Wabunge: Muihoji Serikali juu ya kuporomoka kwa elimu nchini!

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
Wapendwa wanaJF

Ninawaomba kwa yeyote mwenye direct access na Mbunge yeyote awaye, amuombe kuhoji Serikali juu ya kuporomoka kwa Elimu hasahasa ya Msingi hususani katika kipindi hichi cha Mh. J.K. Kulikoni? Tunakwenda wapi?
Primary School Leaving Examination results for 2003 - 2009
YEAR
No. of Candidates
No. Passed
Pass Rate (%)
2003
490,018
196,273
40
2004
499,241
243,045
49
2005
493,636
304,936
62
2006
664,263
468,279
70
2007
773,573
419,136
54
2008
1,017,865
536,672
53
2009
999,070
493,333
49
Source: Ministry of Education & Vocational Training
 
Back
Top Bottom