Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

Zitto yuko halali kabisa maana waziri mkuu amekuwa kama msukule hana cha kuongea si kudhalilisha ukoo na familia yake kwa ujumla si ni bora kama hauna sauti ukajitoa au uwaziri ndio unamfikisha kwenye matusi mengio kiasi kama hayo?
 
Pinda akisha akisha ondoka,Mimi siwezi kulia,nitamtupa Sibawanga,awe chakula cha mamba!!!!!!
 
Kelele zimapigwa nyingi sana na wabunge kuhusu uwajibikaji wa mawaziri, tulitarajia mpaka sasa sahihi anazo hitaji Mh.Zitto ziwe hata zaidi ya 100, lakini kwa taarifa nilizonazo hata 50 hazijafika. Sasa je, machungu waliotuonesha wabunge ni ya kweli au kiini macho? sababu usanii umeanzia magogoni mpaka chini.

Wafanye wafanyayo tunawasubiri majimboni. Ukweli kuhusu wao wana mwakilisha nani tutakuwa tumeujua. Mwenye maono au waonao mbali kama kina Millya na wenzake sasa tutawaona. Kama kweli una hakili timamu huwezi kung'ang'ania chama kinacho kufa. Mnajua mpaka sasa kuna watu wengi bado hawaamini kama sisiemu inakufa!

Deo Filikunjombe na wenzio tuonesheni kwa vitendo. Hata kama watawafukuza kwenye chama mnauhakika wa kurudi mjengoni kupitia vyama vingine tena kifua mbele kuliko kujifedhehesha kwa kukumbatia chama kinacho kufa.

Chaimaharage iyo Avatar yako ni balaaaa, ngoja niendelee kufatilia sign mie
 
Chaimaharage kwani hiyo avatar yako ndo "mchina" ndo invokuwaga!! Duh...
 
Bwana waitose tu hii serikali, imetuchosha, haina la maana inalofanya kwa wananchi, viongozi wapo kwa maslahi yao tu. Hata maslahi ya chama chao sasa hawayajali, wangeyajali kusingekuwa na makundi.
 
Nilitaka kujua Mh.zitto alifanikiwa zoezi lake bungeni baada ya kuwaomba mshikamano jana.
 
Tayari kashazipata Chadema na CUF wote, na CCM 10.., tafuta kuna thread inaongelea message ya zitto kutoka Twitter
 
ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa Kuwa upande wa wananchi.....

idadi inazid kusonga mbele...70 watafika tu
 
ndugu Deo Filikunjombe amesaini. Huu ndio unaitwa ushujaa Kuwa upande wa wananchi.....

idadi inazid kusonga mbele...70 watafika tu

Hii ni baada ya kutoka kwa Lukuvi? Kama ni kweli, basi kamanda ana msimamo. Keep it up DFH. Tuko nyuma yako Mh.
 
yap baada ya kutoka kwa lukuvi ametia sahihi....

Mkuu de'levis, vipi mmepata hizo dondoo za lukuvi alipojaribu kuwafunga mdomo wabunge wa CCM?
Na kama Hoja imepata uungwaji mkono kutoka vyama vyote (kasoro UDP) mbona hiyo idadi ni ndogo mpaka sasa. Nilitegemea wabunge wote waliopo Dodoma wangekuwa wameshaonyesha njia mapema! Logistic ziko vipi kwan?
 
Back
Top Bottom