Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

SUluhisho ni uwajibikaji, Waziri Mkuu anapaswa kuwawajibisha walio chini yake. Ikishindikana, achukue jukumu la kukubali kushindwa "AJIUZULU"
 
Kwa mtizamo wangu mimi tukishamtoa Pinda basi tujaribu na imani ya Rais wetu au mnasemaje wadau.

Kwa Rais ngumu mno mzee. Katiba inarushu Bunge kumshtaki lakini jinsi ya kumshtaki ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano. Imetoa ruhusa lamkini ku exercise hiyo right ni kama haipo vile.
 
wana jf naomba niwambie kuwa zile sahihi sabini ndio hivi sasa karatasi inapita na wanasain.wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM wao wameshatia sahihi.....tutaendela kuwapa update hapa jf...
Ahsante Mkuu kwa up dates!!!!!!
 
Huu ni mtego wa pili mkubwa kuhasisiwa na CHADEMA dhidi ya CCM.
Wa kwanza ulifanyika nje ya Bunge pale Mwenge Yanga yalipofunuliwa majina ya mafisadi.
Huu ni wa pili, unafunuliwa Bungeni.

Madhara ya huu wa sasa by any means yatakuwa makubwa zaidi, kura sabini zipatikane au zisipatikane kura ya kutokuwa na imani na PM ifaulu au isifaulu, ni upanga unaokula kuwuli.

Nafuatilia.

Mkuu, maslahi ya UMMA kwanza, haya ya kichama tutayajadili baadae. Kutoka ULALAMIKAJI bungeni, mpaka UTENDAJI kwa lengo la kusukuma gurudumu la UWAJIBIKAJI. Hili ndilo lengo kuu. Nail em Up
 
wana jf naomba niwambie kuwa zile sahihi sabini ndio hivi sasa karatasi inapita na wanasain.wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM wao wameshatia sahihi.....tutaendela kuwapa update hapa jf...

Good move! Asanteni CUF, mkikubali kusaini najua kura zitapigwa na ndipo tutawajua unafiki wa Wabunge wa CCM.
 
wana jf naomba niwambie kuwa zile sahihi sabini ndio hivi sasa karatasi inapita na wanasain.wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM wao wameshatia sahihi.....tutaendela kuwapa update hapa jf...

Wasiwasi wangu ulikuwa kwa wabunge wa cuf, kama nao wamekubali kusini basi kazi imekwisha hiyo. Kheri yao wabunge hao 10 wa ccm walioamua kusaini kwakuwa wametekeleza wajibu wao bila kutia unafiki. Sio wale waliokuwa wanatokwa mapovu wakichangia hoja lakini kusaini petition wanakimbia!!

Kazi nzuri Mh. Zitto endelea kusukuma agenda hiyo hadi kieleweke. Hata kama wabunge wa ccm wataamua kumlinbda waziri mkuu wakati hoja ya kupiga kura ya kutokuwa na imani naye itakapotolewa lakini wananchi wataendelea kujionea madudu yanayofanywa na wabunge wao ili 2015 wasipate shida kabisa kufanya maamuzi.
 
WanaCCM vipi au na hiyo mtabaki kusema CHADEMA .Naomba unitajie chama kilichosema Waziri mkuu katafuna hela?... Achana Na propaganda za vyama twende kwenye utaifa.zaidi.
 
Zutto Kabwe on tweeter .. Zittokabwe: #Sahihi70 wabunge wa CUF na CDM wote wanasaini hivi sasa. Ifikapo saa tano tutakuwa na sahihi zote zinazotakiwa. Kuna wabunge 10 CCM........
 
Last edited by a moderator:
Wakipatikana 71 ni ujumbe tosha kwamba watu wamechoka hata kama ni wapinzani tu na wabunge wachache wa CCM cha msingi tunaomba ZITTO AWEKE MAJINA YA WALIOSAINI HAPA JF TUWAJUWE WASALITI WA MAISHA YA WATANZANIA

Mh. zito ametwiti kwenye Twiter kuwa Mpaka sasa wabunge wa chadema na Cuf wanasaini.na Wapo kumi wa CCM.
Source; TWITER
 
newspaper mkuu wakati tumeona live bungeni!nani kampa mkulo idhini ya kuuza viwanja,bandari?
 
Back
Top Bottom