PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,725
Spika Wa Bunge Mama Anna Makinda akihitimisha kikao cha leo cha Bunge ametangaza kuwa kesho 21.06.2013 baada ya kipindi cha maswali na majibu Bunge litaangusha sherehe kubwa sana ya kumpongeza Mh. Sitta kwa kuliongoza Bunge la 9 kwa ufanisi mkubwa!
Wanajamvi;
Kweli tangazo hilo limeniacha mdomo wazi. Hayo ndiyo matumizi sahihi ya kodi zetu kweli?...kufanya starehe na Tafrija za Unafiki?
Kama Spika Sita alifanya kazi inayostahili kupongezwa, mbona aliondolewa kwa mizengwe, aibu na kejeli vile?
Nisaidieni.