Tetesi: Wabunge kadhaa waanza kuwasiliana kwa ajili ya wao pia kuchukua maamuzi magumu

madhali ushatoa hii habari hapa wataitwa kikao cha ndani wakapigwe msasa kwanza kabla ya hilo bunge wakiingia bungeni ni business as usual

Bingwa wa kazi hiyo ya kuweka sawa Wabunge wa ccm alikuwa Abrahaman Kinana. Lakini ni yuleeee sio huyu aliyejikatia tamaa na yanayo endelea. Hawezi tena kuchafua historia yake kwa upuuzi uzeeni.
Hakika nakuambieni hawezi kuwaita tena wabunge kusema awaweke sawa. Kwa lipi hasa lenye manufaa ya chama wakati keshaambiwa fomu mtu alichukua mwenyewe hakwenda na mtu?
 
Wabunge CCM ndo wanaotufelisha all day Taifa linaenda kama gari ambalo dereva karuka afu gari linashuka KITONGA
 
Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
Jpm akivunja bunge inamaana hana serikali
 
Kwa upande Wa Cdm ndio kabisaaaaaaaaaa.....
Hata uthubutu wa kujadiliana juu ya kwanni CheaMan kwa miaka zaidi ya 16
Mjinga ni mjinga tuu maana hajui hata uzito wa kila hoja na umuhimu wake ,nakuona mpumbavu sana kwa kuhusisha maswala ya chama cha siasa tena ambacho hakija wahi hata kushika madaraka na maswala ya utawala wa nchi na bila kuona uzito wa kila moja kwa sehemu yake, hakika elimu yako ni 0
 
0f0aacadb6f472e413896a20d9ef846e.jpg
 
Mjinga ni mjinga tuu maana hajui hata uzito wa kila hoja na umuhimu wake ,nakuona mpumbavu sana kwa kuhusisha maswala ya chama cha siasa tena ambacho hakija wahi hata kushika madaraka na maswala ya utawala wa nchi na bila kuona uzito wa kila moja kwa sehemu yake, hakika elimu yako ni 0
Hata mimi mwenye Elimu 0...
Nipo na nitaEndelea kuchangia na zero yangu....
Nyumbu mkubwa kweli ww
 
Khaa yaani wabunge nao hamnazo leo hii waitishe bunge la dharura kwa sababu ya Makonde kweli..?
Mbona bajeti inapitishwa wengine wanatoka bungeni na wengine wanaitia ndiooooo.
Kama wanataka wajiuzulu turud tufanye uchaguzi upya ili waje waisome namba mtaani huku
 
Wamekutuma? Maana wanazo Account za mitandao ya kijamii wangeandika wao acha Unafiki Nyambafu''"
 
Kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.

Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza kuwasiliana kwa njia mbali mbali wakitaka liitishwe bunge la dharura kuendana na kile kinachoonekana kama ni hali mbaya katika taifa hili.

Kumekuwa na hali ya mazonge mazonge kwa kipindi kirefu katika mambo mengi yanayoendelea hapa nchini kiasi kwamba taifa limekuwa siku zote likizidi kuelekea jioni na kupoteza nuru.

Inasemekana kuwa bunge ambalo nalo limejeruhiwa kwa kiasi kikubwa na milipuko hii ya magonjwa ana kusababisha wabunge wengi kuwa dhoofu na wengine kulazwa kwa sababu ya hali ya kisiasa nchi kuzidi kukaa tenge kwenye mhimili wake.

Wabunge kadhaa wameamua kuwasiliana na kuanza vikao iwezekanavyo wengine kujiuzulu nafasi zao ili mwenye uwezo wa kiuungu aziendeleze na pia wengine wapo tayari kutoa matamko bila kujali nafasi walizo nazo. haya yanaendelea kusemwa na watu mbalimbali wenye connections na watu wakubwa.

Kiuhalisia hali ni tete...tusubiri maana wanasema "kuti la mazoea lilimwangusha mgema" na pia katika hili kuna ahaja sana ya kufanya maombi maana wabunge kadhaa wenye vyeo vikubwa wamejipanga kufanya matamko makubwa zaidi.
Nasubiri kwa hamu mbunge wa jimbo ninalotoka ajiuzulu nikachukue fomu!
 
Mkuu acha kupotosha umma, yaani wabunge hawa hawa wa tz tunawajua wote leo hii wanajifanya wanauzalendo?

Sio hao hao walipitisha bajeti?, matukio ya mikataba tata ya Richmond, IPTL, Luguni n.k si wote walikuwepo mbona wahakuona kama nchi ilikuwa inaelekea pabaya?

Ukiona mbunge wa bongo anareact kwa sasa bila kujali anatoka chama gan ujue anaona maslahi yake yameguswa.

Siwezi kuwaamin hawa wabunge wajifanye wana uchungu na nchi yetu kwa sasa wakati juzi tu walikuwa wanalalamika wasikatwe kodi kwenye kino mgongo chao, ni mzalendo gani ambaye hataki kulipa kodi?

Wabunge wengi wametanguliza matumbo yao mbele kujali maslahi yao hivyo ukiwaona wanakuja juu kuhusu jambo Fulani ukilifuatilia kwa karibu utajua kuna maslahi yao binafsi yamejificha
 
Msije mkamjalibu JPM alisshasena, yupotayari kulivunja bunge Mrudi kwenye Sanduku la kura, mimi nina imani JPM atarudi kwenye nafasiyake lakini kunawabunge hawatarudia.
watanzania tuwasahaulifu sana, rais yeye kaishema yeye yupo tayari kwa lolote yeye haoni shida kupoteza nafasi yake kwa kile anachokiamini. Haya wengine kazi kwenu.
 
Maamuzi magumu hayahitaji mawasiliano. Rostam alikwisha waonyesha mfano wakati ule wa kujivua 'gamba'.
 
Walishindwa kwenye issue kali kama ya ESCROW waje kwa ajiri ya makondaaaa??????? Walishindwa issue ya mtangazaji wa Channel Ten waje kwa Makonda?????? Wameshindwaa kwenye kuzuiwa BUNGE LIVE waje kwa ajiri ya makondaaaaaaa?????

Wapinzani Kuweni serious kuna ishu za kuzivalia njugaaa.....leo mnakomaa atumbuliwe kisa magu kaanzishaaaaa.....kipindi cha kikwete sijui mngesemaje maana yy alikuwa hana Kumtumbua
 
Back
Top Bottom