Mkataba wa Bandari, Wabunge wasema waliburuzwa

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,555
41,066
Hili limenishangaza, kunishtua na kukatisha tamaa kabisa.

Nilikuwa na mazungumzo na wabunge wawili, mmoja ni mwanasheria, tena mzuri sana kwenye mambo ya corporate, akiwa amesoma miongoni mwa vyuo vikubwa na bora kabisa Duniani. Na mwingine alikuwa Naibu Waziri, kwa sasa yupo nje ya Baraza.

Hoja kubwa ilikuwa mjadala wa bandari, majibu yao, mmoja alisema hivi:

"hivi bwana ..........., unaamini, mimi na akili yangu, naweza kuunga mkono mkataba kama ule? Watu wanasema tu huko nje, hawajui kilichopo huku ndani. Ukiwa huku, unakuwa ni kama mtumwa. Tumeitwa kwenye kikao cha chama, tena tukaambiwa ni maelekezo. Bungeni pale kuna wachache, tena wale watu wao waliowekwa sawa, ndio waliokuwa wanaongea. Nakuhakikishia, wote ambao hatukuongea, kila mmoja alikuwa hataki, lakini kwa salama yako, unaamua kukaa kimya. Hawa watu wamejipanga hasa, na kila siku wanaoonekana ni kisiki mahali popote, wanaondolewa".

Mwingine aliyewahi kuwa naibu waziri, akasema:

"Wengine tumeondolewa, kwa sababu ya kuhisiwa tu kuwa tunaweza tusiunge mkono kila kitu. Tukawekwa pembeni. Na hapa, kwa hawa watu, si ajabu sisi wengine mwaka 2025, tukaondolewa kabisa hata kwenye ubunge. Na wakiwa wenyewe kabisa, itakuwa mbaya zaidi, maana hatutajua kabisa wanayopanga, hata wanayofanya. Kwa hiyo kwa namna fulani, ni afadhali hata ubakie kinafikinafiki, angalao tufahamu wanachofanya. Shida pia, ni wananchi wetu. Sisi tunapozitoa taarifa hizi, kuvujisha siri, tunatarajia wananchi waamke, lakini wananchi nao inakuwa kimya. Sasa ukiwa kimbelembele, upo pekee yako, nyuma yako hakuna watu, utafika wapi? Kwa kweli tumekwisha. Sasa hivi kila mahali wanapachikwa watu wao ili wapitishe haya. Na hao waarabu wanazidi kumiminika, wanapewa kila kitu, ukitazama mikataba yao, inatisha"

Walisema mengi, mpaka nashindwa kuelewa hii nchi kama hali ni hii, mwanga uko wapi?

Wananchi wanataka wabunge wafanye kitu kwa maslahi ya nchi na umma, wabunge nao wanatarajia wananchi ndio wafanye kitu kuiondoa nchi kwenye mkwamo, nao wananchi hawafanyi chochote. Na kama hali ni hiyo, sasa bunge ni la kazi gani?

Jamani, tupambane tupate katiba mpya lakini katiba yenyewe nayo tutaipataje wakati sisi sote ni waoga? Hata ikipatikana katiba mpya, wakiamua kutokuifuata, na watu tukawa waoga kuwawajibisha viongozi wanaoikiuka, itakuwa na msaada mkubwa? Uoga wetu, umekuwa mtaji mkubwa kwa watawala wenye dhamira mbaya ya kujineemesha wao na jamaa zao.
 
Wanafik wakubwa
 
Bila ushahidi hayo ni maneno tu ambayo mtu yeyote anaweza kuyaandika humu.
 
Tafuta ugali wa familia yako
 
Mbona siku nyingi inajulikana kuwa hatuna bunge? Simply linatakiwa lifutwe maana kama hali ni hii hakuna maana ya existense yao
 
Usiogope Usiwe na Hofu ,
Wakati waja Kila Ovu litawekwa wazi na Kuondolewa !!!!
 
Tafuta maisha kwa ajili ya familia yako, bandari haitakujengea nyumba
Mawazo ya maskini kabisa wa akili haya yaani hujui connection iliyopo kati ya bandari na mwananchi kitumbini huko hujui kabisa kama hata kama huyo maskini yupo huko kitumbini lakini anaguswa na sera mbovu za bandari hujui kabisa

Kweli watanzania wengi akili ni ndogo sana
 
Wewe ni mjinga

Bandari haikuletei chakula mezani, wala kukulipia umeme au maji.

Fanya kazi
Au kaandamane
 
Wewe ulishatengwa na Familia yako kwa sababu haunaga mchango wowte kwenye familia ata wa mdomo unakushinda,so kaa kimya wewe unaishi kwa shemeji yako.Bandari na sisi sisi na Bandari mpa kieleweke.
Hahahah nakuona ulivyobinua hilo domo
 
Back
Top Bottom