Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Miaka miwili hii ya posho sio midogo bila shaka mmetibu majeraha mengi ya uchaguzi. Chama/Taasis imeibuka mshindi kama kawaida na matarajio ya wengi.
Mimi nawashauri msipoteze muda wala fedha kupambania msichotakiwa kupata. Waacheni na wanawake wenzenu wengine 19 wakale kidogo. Mtakuwa mmeipa CHADEMA fursa ya kuingiza wabunge 38 wa vitimaalum kwenye Bunge hili ambalo ni jambo zuri.
Kubalianeni na wajumbe andikeni barua za kuomba radhi bila shaka mtasamehewa na mjipange kwa 2025 bado fursa ipo.
Mkishindana mtajiongezea maadui na mtaanza upya. Jifunzeni kwa wanaCCM wanapofukuzwa wanatubu na Kusamehewa.
Tubuni tafuteni na wakosaji wenzenu wote mrudi Chamani. 2025 upinzani unapaswa kuwa movement na unamuhitaji kila mmoja.
Jana ilikuwa ni lazima mfukuzwe kwa ajili ya precedence ya taasis. Tubuni ili mtengeneze precedence nyingine ya watu Kusamehewa na kurudishiwa uanachama wao.
Nawatakia kila kheri.