Wabunge 19 Kubalini Maamuzi, Ombeni radhi Mrejee Chamani

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Miaka miwili hii ya posho sio midogo bila shaka mmetibu majeraha mengi ya uchaguzi. Chama/Taasis imeibuka mshindi kama kawaida na matarajio ya wengi.

Mimi nawashauri msipoteze muda wala fedha kupambania msichotakiwa kupata. Waacheni na wanawake wenzenu wengine 19 wakale kidogo. Mtakuwa mmeipa CHADEMA fursa ya kuingiza wabunge 38 wa vitimaalum kwenye Bunge hili ambalo ni jambo zuri.

Kubalianeni na wajumbe andikeni barua za kuomba radhi bila shaka mtasamehewa na mjipange kwa 2025 bado fursa ipo.

Mkishindana mtajiongezea maadui na mtaanza upya. Jifunzeni kwa wanaCCM wanapofukuzwa wanatubu na Kusamehewa.

Tubuni tafuteni na wakosaji wenzenu wote mrudi Chamani. 2025 upinzani unapaswa kuwa movement na unamuhitaji kila mmoja.

Jana ilikuwa ni lazima mfukuzwe kwa ajili ya precedence ya taasis. Tubuni ili mtengeneze precedence nyingine ya watu Kusamehewa na kurudishiwa uanachama wao.

Nawatakia kila kheri.
 
Wamesema licha ya KUFUKUZWA Wataendelea kuwa Wabunge ndio maana Halima amesema Maamuzi ya kuwafukuza ni ya Kihuni

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Unajua sisi wanachama wa Chama cha Mapinduzi haturuhusiwi kutofautiana na mtizamo na maamuzi ama maazimio ya Chama hata kama yanaumiza kama unavoona katika mtandao huu WA JF. Ila kupunguza hasira za kutokupata wasaa wa kutema nyongo ndio tunapata fursa ya kuongelea CHADEMA kila kukicha na sio ACT ama Umoja Party. Mtoa mada anajua sana hili Mr. Mramba. Natamani tungepeta fursa hiyo tungewapunzisha CDM.
 
Miaka miwili hii ya posho sio midogo bila shaka mmetibu majeraha mengi ya uchaguzi. Chama/Taasis imeibuka mshindi kama kawaida na matarajio ya wengi.

Mimi nawashauri msipoteze muda wala fedha kupambania msichotakiwa kupata. Waacheni na wanawake wenzenu wengine 19 wakale kidogo. Mtakuwa mmeipa CHADEMA fursa ya kuingiza wabunge 38 wa vitimaalum kwenye Bunge hili ambalo ni jambo zuri.

Kubalianeni na wajumbe andikeni barua za kuomba radhi bila shaka mtasamehewa na mjipange kwa 2025 bado fursa ipo.

Mkishindana mtajiongezea maadui na mtaanza upya. Jifunzeni kwa wanaCCM wanapofukuzwa wanatubu na Kusamehewa.

Tubuni tafuteni na wakosaji wenzenu wote mrudi Chamani. 2025 upinzani unapaswa kuwa movement na unamuhitaji kila mmoja.

Jana ilikuwa ni lazima mfukuzwe kwa ajili ya precedence ya taasis. Tubuni ili mtengeneze precedence nyingine ya watu Kusamehewa na kurudishiwa uanachama wao.

Nawatakia kila kheri.
Akili yako imeanza kukomaa sasa.
Umeandika vyema sana.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wamesema licha ya KUFUKUZWA Wataendelea kuwa Wabunge ndio maana Halima amesema Maamuzi ya kuwafukuza ni ya Kihuni

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Nimejifunza kuwa ukimlea nyoka...atafurahi akiwagonga adui zako.
Asipokuwepo adui atakugonga wewe.
Tumezoea Halima kuongea maneno ya kihuni dhidi ya ccm hatukumkemea leo ametumia kauli za kuudhi nyumbani haha

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Miaka miwili hii ya posho sio midogo bila shaka mmetibu majeraha mengi ya uchaguzi. Chama/Taasis imeibuka mshindi kama kawaida na matarajio ya wengi.

Mimi nawashauri msipoteze muda wala fedha kupambania msichotakiwa kupata. Waacheni na wanawake wenzenu wengine 19 wakale kidogo. Mtakuwa mmeipa CHADEMA fursa ya kuingiza wabunge 38 wa vitimaalum kwenye Bunge hili ambalo ni jambo zuri.

Kubalianeni na wajumbe andikeni barua za kuomba radhi bila shaka mtasamehewa na mjipange kwa 2025 bado fursa ipo.

Mkishindana mtajiongezea maadui na mtaanza upya. Jifunzeni kwa wanaCCM wanapofukuzwa wanatubu na Kusamehewa.

Tubuni tafuteni na wakosaji wenzenu wote mrudi Chamani. 2025 upinzani unapaswa kuwa movement na unamuhitaji kila mmoja.

Jana ilikuwa ni lazima mfukuzwe kwa ajili ya precedence ya taasis. Tubuni ili mtengeneze precedence nyingine ya watu Kusamehewa na kurudishiwa uanachama wao.

Nawatakia kila kheri.
Bwana mdogo naona leo ubongo wako umeuchukua toka kwa store ya hapo Lumumba.
Wewe umeomba msamaha?
 
Ushauri mzuri sana mkuu. Ila hoja ni nini hapa?
1. Kulinda heshima ya chama hatakama waliohukumiwa wanaamini hawana kosa?
2. Kutoa nafasi kwa wanawake wengine nao wapate kula posho za ubunge ili chama kiwe kimeingiza wabunge 38?
3. Kuepuka kupata maadui ambao wewe unahisi watawapata na ni wengi?
4. Kuwaepusha waliofukuzwa kupoteza muda na fedha zao kwakua wewe unaamini hakuna uwezekano wa hao kushinda kesi mahakamani iwapo wataamua kukimbilia huko?

Back
Top Bottom