Wabongo na ujuaji

Marcovicsavic

Senior Member
Nov 14, 2020
130
298
Nime kua kwenye industry ya Tec toka mwaka 2010 nikianzia kwenye blogspot nikilipwa na Adsense, hadi sasa nafanya project full za Mobile na website, kwe frameworks za Flutter na Laravel(zipo nyingine ila hizi ndio favourite kwangu)

Mwanzoni sikua nafanya kazi na watu (clients) nimekua nikifanya website/Apps zangu naweka ads then na deal na google, ila baadae kutokana na maoni ya wengi nikaona sio mbaya kama nitafanya project za watu pia

Nikaanza rasmi safari ya Kudeal na client,

Hapo ndio nika gundua kua client wa Tanzania ni vichefu chefu wakijificha kwenye kauli za

"si unadowload template"
"Developers wa bongo wavivu"
"IT wa bongo wabani cd"
"nishapigwa sana na developers"

Mtu asie na ujuzi hata wa kutengeneza page ya "HELLO WORLD" ana taka ajimwambafai as if ku code ni jambo rahisi

Ujuaji umekua mwingi sana ndio maana hakuna IT project inayo fanikiwa, nyingi zinafeli kutokana na kukosa connection kati ya Developers na clients,

Kuna mtu kauliza kwanini IT project za bongo hazitoboi sana,

Sababu ni moja huwezi kua both kwenye tech na marketing, au Marketing na tech
Project yoyote ili iwe imara inataka team, na team iwe inaheshimiana

Sio mtu wa Marketing alete ujuaji kwenye tec au mtu wa tech alete ujuaji kwenye marketing ,kila mtu akae kwenye mstari wake,

Kiukweli nime kua nikishangaa sana ujuaji wa clients wa kitanzania, nimeshangaa mnoo!.

Nimefanya kazi na watu kutoka mataifa tofauti tofauti na wengi nimekutana nao kwenye platform kama UPWORK hua wana heshimu sanaa ujuzi wa mtu ndio maana hua wanapata product za kueleweka,
Developer unapata treatment hadi una enjoy kufanya kazi,

Kitu ambacho kwa mtanzania ni nadra sanaa,.

Tubadirike!

kama unahisi kudownload themes ndio kua developer basi usitafute developer fanya mwenyewe na ukikuta kuna jambo anafanya mtu la tech acha ujuaji, be positive au kaa kimya!
 
Wa bongo ni hujuaji sana nakumbuka kuna jamaa angu ni web developer alikutan na client alikuwa anatak website ya ofisi yake jamaa akawa anampa bei yake client anagoma anasema web si page moja tu iyo ela yote ya nn as if nikakaz flan iv simple ka kujaza upepo baiskel😂
 
Wa bongo ni hujuaji sana nakumbuka kuna jamaa angu ni web developer alikutan na client alikuwa anatak website ya ofisi yake jamaa akawa anampa bei yake client anagoma anasema web si page moja tu iyo ela yote ya nn as if nikakaz flan iv simple ka kujaza upepo baiskel
Client kama huyo unatemana nae tu, ndio maana wanakutana blogers, wanawapa price ndogo, wakipigwa na vitu vizito wana laumu tasnia nzima,
Site ya 3M anaambiwa laki 2 anafurahi akipigwa analalamikia ma IT wa Tanzania wakatu yeye ndio mwehu,
 
Hii ni kweli sio clients wa Tech tu Mkuu, mfano sisi Sheria unampa fee mteja anakwambia si unagonga mhuri tu.

Ila nilichojifunza, kama unataka kukuwa unatakiwa kuachana kabisa na clients wa hivyo sababu hao sio clients wako, bado hawajafika standard yakuweza kununua huduma yako na hapo tatizo sio wewe bali ni wao, so unatakiwa kuwa cut off bila kujilaumu kabisa Mkuu.
 
Hii ni kweli sio clients wa Tech tu Mkuu, mfano sisi Sheria unampa fee mteja anakwambia si unagonga mhuri tu.

Ila nilichojifunza, kama unataka kukuwa unatakiwa kuachana kabisa na clients wa hivyo sababu hao sio clients wako, bado hawajafika standard yakuweza kununua huduma yako na hapo tatizo sio wewe bali ni wao, so unatakiwa kuwa cut off bila kujilaumu kabisa Mkuu.
Sure kabisa, me nikisha ona client mjuaji hata akifika price yangu, nita tafuta tu namna ya kum escape,
Ni wasumbufu sana hawa watu,
 
Back
Top Bottom