wabongo mnapenda hela zabure umeambia test account wewe unafikiria ni hela yako

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
wazee wangu wacheni kupenda hela zabure na kulalamika piga hii no *150*55# kwenye simu yako utaona kama umekewa hela lakini ni test hapa jf watu wameshaanza sijui usalama wako wapi hapo hakuna kesi sababu sio hela yako
 
Jane we ni kilaza kwelikweli hivi tangu lini bank ikaoperate kwa mtu ambaye si mteja wake?kama wanatumia laini yako kupitisha fedha haram?NMB MOBILE inafanya kazi kwenye simu za wateja wake tena waliosajiliwa na test zinafanyika kwa wateja wao tu waliosajiliwa ss hii inaingiaje akilini mwako kufanya test kwa kila mtu tena kwa kiwango kikubwa kiasi hicho cha pesa?wangekua wanaweka 5000 at least ingeeleweka,nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria na kuchambua mambo inawezekana ukaambiwa mchana ni usiku na ukakubali.
 
Sio kosa lako pesa haramu wakupe wewe ?
 
satellite mzee wangu wewe unafikiria zile ni hela kweli kwani wao wajinga wasambaze pesa kwenye sim zawatu wanataka kujaribu hiyo system if it will work in tz................listen get a life mzee
 
njane_000 nimeulizia hadi kwa watu wanaofanya M bank nao pia wanashangaa kama mm ss hapo ndo nilipokuja na hoja ya kuchunguzwa hizo hela,ishu siyo hela kupata ila kwa nn waziweke kwenye laini pesa kiasi kikubwa hicho tena kwa mtu asiye mteja wake?kisheria unaweza kuwapeleka mahakamani kwa kufanya test bila ridhaa yako coz sio mteja wao ila kwa vile system yetu iko very corrupted hutapata msaada wowote
 
Back
Top Bottom