Wabongo greece

255545_353876671369962_392632261_n.jpg
 
At least wamefanya kitu,hata kama ni chakavu
kwa mtu mwenye Ulemavy anayetambaa chini bado itakuwa ni Msaada kwake.
 
uko wapi hapo mzizimkavu+rudini home tu huko kishanuka mnangoja mpaka mchinjwe!
Mkuu babukijana Bongo hakurudiki mpaka uwe na man'gazo (Pesa) ukirudi mikono mitupu

utakuwa mgeni wa nani?nyumbani hakuna umeme, na maji umeme wa mgao shida tupu mjini ninasikia Dares-

Salaam ikifika usiku mji mzima unalia kwa Miungurumo ya MaGenerator? Nikiishi hapo Mjini sitaweza kupata usingizi

kwa Sauti ya Majenerator yanayotowa umeme huku ikifika usiku ukipiga kelele jirani yako anaita Polisi wanakuja

kukukamata unakwenda jela au kulipa Faini sasa nimezoea maisha ya huku makelele hakuna usiku huko

nyumbani itachukuwa muda mrefu nizoee makelele ya Majenereta wakati wa usiku mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom