Wabara wacheni kiherehere ,Muungano ukifariki ,ipo kazi.

Muungano wanautaka walikuwa wana beep..siku tukijisikia kuwaruhusu itakuwa hakuna kurudi nyuma...na tukirudi nyuma tunawaunganisha na kata ya magogoni diwani wenu atakuwa shein.
 
watu hawa hawana kabisa ule uasili wa wao kuwa ni waTanganyika kwani ukifuata ujio wao wanakuwa ni wahamiaji ,waliokutwa na biashara ya utumwa. Aidha waliachwa kwenye mataa na wenzao kupelekwa uarabuni uhindini na amerika.

Akili ya kitumwa bwana!!!!! Nilikuwa sijui kumbe ilikuwa ni fahari kupelekwa utumwani Uarabuni, uhindini na Amerika?? Ukikosa safari umeachwa kwenye mataa. Anyway haya ndio matokeo ya kupiga marufuku ufundishaji wa historia shule za kizanzibar
 
Mwiba unatatizo la uwezo mdogo wa kufikiri. Azimio la wakati huo(OAU) na sasa AU inatamka wazi - mipaka ya nchi ni ile iliyokuwepo/kutambulika siku uliyopata uhuru. Leo hii itakua kichekesho kama TZ ikidai irudishiwe Rwanda na Burundi kwa kisingizio ilikua sehemu ya Tanganyika hapo awali. Kama huna la maana la kupost humu jamvini ni bora ukae kimya usome za wadau wengine na sio kupost huu upuuzi
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada pole kwa kuota ndoto za mchana, inamaana zanzibar ilipata uhuru nusu nusu?
 
Mbona umeleta ramani ya makubaliano kati Sultani Mwarabu kutoka Oman na Utawala wa Kijerumani???

Du kwa hiyo mpaka kule Kenya nako ni kwenu??

kabla ya 1856 mipaka ya Zanzibar ilikuwa vipi?

Mimi nilidhani wewe ni Mazanzibar unadai haki ndani ya nchi yako.
kelele zote hizi ni kutaka himaya ya Sultani wa Zanzibar irudi na Uarabu ushike hatamu tena?

Hivi kwenu Omani nchi nzima ina mbigili za chuma hata muitamani Zanzibar kiasi hicho??

Omani kwenu mlitimuiwa, Zanzibar mkatimuliwa na kukimbilia UK sasa mnataka kurudi chini ya mwavuli wa Uislamu kumbe nia yenu ni kuleta Uarabu Zanzibar.

Halafu umejitukana mwenyewe.
Hivi Mtu mweusi kutoka Zaire na Mwarabu kutoka Omani nani ni mgeni wa kutupwa katika Pwani ya Afrika Mashariki??

Babu zenu waliwatamani sana bibi zetu wa Kimatumbi wakazaa nao mkatokea ninyi mashombe leo mnakuja na kutukana uzao wa mama zenu kuwaweka miezi 9 tumboni????

Eti mama zenu ni wakuja??

Afrika kwa asili yake ni ya watu weusi ukiona mtu asiye mweusi, mwarabu au mzungu anadai ardhi kwa nguvu zake zote,jua moja anakumbuka enzi alipokuwa bwana na nia yake ni kurudisha Ubwana na utwana.
 
Dhambi ya ubaguzi imewamaliza huko zenj, sasa mnataka kuwagawa wabara! Kamwe hili hamtaliweza na sijui kwa nini mnawashwa sana na nchi hii Tanganyika!
 
Back
Top Bottom