Angel... haya ni mabumunda.....yani we ni kiazi full, unatukana watu kwa hoja za kipuuzi,
..........sio mnakurupuka kama watoto wa wakulima.
hawa jamaa wanashangaza! Vuguvugu la kuvunja muungano wamelianza wenyewe, leo hii wanaanza kuweweseka. Kaeneo kenu ni kadogo mnataka kuwapa waarabu?
zanzibar, punguzeni kelele..karne hii, ni ya kuwajibika si ya kuchimba miaka 200 iliyopita mataifa makubwa duniani kama marekani yameendelea kwasababu ya muungano na si jambo lingine marekani ni muungano wa nchi zaidi ya 52 lakini hakuna kelele, tena wao wameungana tokea 1776..ndio sisi tokea 64 tena nchi mbili tu?? kelele zoote hizi..embu kuweni na busara kidogo , maana bila tanganyika hamuwezi fanikiwa..urusi ilianguka kama super power baada ya nchi kujiondoa katika muungano..mpaka hivi leo urusi inajivunia historia lakini hamna, kitu..sina shaka kuna watu wachache wanawajaza madudu ambayo in reallity haiwezekaniki kutendeka, ni ndoto ya mchana ambayo nahisi hawataweza kuwatimizia..kuweni makini na watu kama hawa..
hawa jamaa wanashangaza! Vuguvugu la kuvunja muungano wamelianza wenyewe, leo hii wanaanza kuweweseka. Kaeneo kenu ni kadogo mnataka kuwapa waarabu?
uzeni mpaka na miili yenu who caresHatuwauzii Waalabu ,tuna dili na Wataliano ,ili dude noma ,tutauza kila kitu ,hatuuzi chenu ,nyie vipi ?
1. Ashakum si matusi ila maneno yenyewe.......Rai hii peleka kwenu huko mnakowasha utambi ilhali hamjui mpasuko wa bomu utakuwa na impact kwa circumference ipi!!!!!!
2. Huku Tanganyika suala la origin ya mtu sisi haitusumbui asilan abadaan maadam ni mbantu na mzaliwa au ame acquire uraia kihalali noooooo doubt...nooooo problem......usitupangie nini la kufanya na Tanganyika yetu.....mkapange huko msikoutaka huu makwenu....mchambuane kisha mtajipanga upya
Eti unataka kuleta historia hapa....tunaijua na tulishaikubali ndo maana sisi Watanganyika tunasonga mbele bila kujali hiyo factor....kazi kwenu huko mnakoendekeza historia
Take home assignment kwako;Circle the best answer please....to let the bygones....or this time you go for good!!!!!!
Mtoa hoja ni Kihiyo. Hata kama ingekuwa kweli AOU Charter inasema nchi zote za OAU zitaheshimu mipaka iliyoachwa na wakoloni. Kama ingekuwa anavyowaza huyu Kihiyo hata Milima Kilimanjaro ungekwenda Kenya maana tangu awali ulikuwa Kenya. Ndio maana hata Kamuzu Banda aligonga mwamba akidai kuwa sehemu za Ruvuma na Mbeya ni Malawi. Wazanzibari waachwe waende zao. Watanganyika hatuna cha kupoteza labda kelele na manunguniko yasioisha! Good Riddance.
Tuuze miili yetu wakati watumwa mmejaa tele :spy:
Kama Tanganyika ikirudi tutarudisha mipaka ya 1886 kati ya Tanganyika na Zanzibar - Tanga,. Pangani, Bagamoyo, Dar es Salaam, Kilwa, Lindi, Mtwara na Mafia zinarudi Zanzibar sio eneo dogo hilo (mafuta na gas yote yetu) na hamna ubavu wa kutuzuia, aidha madeni ya iliokuwa Tanzania yatebebwa na Tanganyika maana ndio mliokopa, kwa hiyo Toto Tundu weka akili yako sawa sawa bungeni acha bwabwaja. haya ni maeneo yetu hata Nyerere alikuwa akijua kama hajawaambia bahati mbaya.
Tunaandaa madocument kupeleka UN likilia bwaaa tu tutakutana UN chini cha kamati ya mipaka ya kimataifa.
Zanzibar ya baada ya Mapinduzi hiyo sio Zanzibar ,ipo Zanzibar ambayo ni asili ,itafute utaiona usingije kutafuniwa kila kitu ,na zaidi si kuijua Zanzibar ni ipi ya kabla au ya baada ,mnalotakiwa mkae kwa heshima na adabu ,sio inaposemwa Zanzibar kuna wasiojielewa na kutaka kufurahisha mabwana zao kwa kuilinganisha Zanzibar na Wilaya au kijiji ,muambiwapo Zanzibar ni Nchi basi mjue kinachosemwa ,sio mnakurupuka kama watoto wa wakulima.